flash3

Thursday 9 June 2016

Ronaldo na Messi waongoza orodha ya wanamichezo tajiri duniani

Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amezidi kuonyesha umaarufu wake baada ya jarida la Forbes kutoa orodha ya wanamichezo 100 tajiri duniani na kumuorodhesha wa kwanza.

Ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi pekee katika ulimwengu wa soka ndio waliofanikiwa kuwa na utajiri uliowafanya waingie kwenye top 10.

Ronaldo amesimama keleleni kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 ambazo ni zaidi ya bilioni 85 za kenya.
mwiba Messi akashika nafasi ya pili kwa utajiri wa dola milioni 81.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 80 za kenya.

Dola milioni 32 katika utajiri wa Ronaldo, unatokana na mikataba ya matangazo kupitia zake za mitandao yake ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Wengine ni pamoja na:
3. LeBron James
Total Earnings: $77.2 million
4. Roger Federer
Total Earnings: $67.8 millio
5. Kevin Durant
Total Earnings: $56.2 million
6. Novak Djokovic
Total Earnings: $55.8 million
7. Cam Newton
Total Earnings: $53.1 million
8. Phil Mickelson
Total Earnings: $52.9 million
9. Jordan Spieth
Total Earnings: $52.8 million
10. Kobe Bryant
Total Earnings: $50 million

Mariah Carey atamani ndoa yake na James Packer ifanyike mwaka huu......

Akiongea na Sharon Osbourne mwandishi wa ET, Mariah Carey alisema, “Getting married this year is the goal, it’s also ‘a lot on my plate.”
Mariah Carey amekuwa kwenye kikwazo kizito kutoka kwa ex wake, Nick Cannon cha kufunga ndoa yake baada ya wiki iliyopita alikataa kutia saini talaka yao kwa madai kuwa hayupo tayari kumuona mzazi mwenzake huyo anaolewa na tajiri wa Australia, James Packer.
Mariah Carey na Nick Cannon walitengana mwaka jana lakini walifanikiwa kupata watoto wawili, Monroe na Moroccan.

Ushaicheki Hii Ya Serah Sarah


Serah Sara Ni Msanii Kutoka Hapa Nyumbani Japo Kazi Zake Nyingi amekuwa akizifanyia Nje ya nchi (Dubai).
Si Muda Wa Kitambo Sara Alimhusisa Dazla Kiduche Katika Wimbo Cheza Kidogo, Wimbo Ulio Fanya vizuri sokoni na kumpa jina.
Serah Ni Mwanamziki Mzuri mwenye sauti nzuri tu na ana mengi yakukupa lakini leo hii anakusongezea video ya wimbo wake mpya 'Ukirudi' wimbo amabao kwa sasa unaponya mioyo ya wengi wapendanao.
Tazama Hii video Hapa.

Msani Wetu Wa Siku.......Seif Kalicha.


Birthday ya mwaka mmoja ya Tiffah kufanyika Club.....(Mlimani City)

Ana followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali kuwa Tiffah ni supastaa mtoto kuliko wote Afrika?
Tayari mtoto huyo ana miezi 10 na hiyo ikimaanisha kuwa birthday yake ya mwaka mmoja inakaribia. Tiffah alizaliwa August 6, 2015.
Diamond anadaiwa kuanda birthday party ya kukata na shoka ya mwanae huyo na ametangaza kuwa itafanyika Ndani Ya Mkahawa Wa Mlimani City Nchini Tanzania. “Happy 10th Months my little Angel… can’t wait for your first year’s Birthday!!!!! Pale mlimani City patakuwa kama Disney Land!!!! @princess_tiffah,” ameandika Diamond kwenye Instagram.

Naye mama yake alimpongeza kwa kuandika: Yesterday you were mummy’s tiny baby and today you are mummy’s big girl. Happy 10 my beautiful princess the apple of my eye, the air I breathe. Plse don’t grow so fast, mummy will miss you being her baby.”
Mwana Mitindo Huddah Monree Kutoka Hmu Nchini ni miongoni mwa mastaa walio na hamu kubwa ya kuwepo kwenye birthday hiyo.

“Our baby @princess_tiffah Turning ONE soon…. The ROYAL DUTCHESS of TZEE . Hii Sio party ya kikosa Jamani . There will be a BIG SURPRISE that day! Asiye na wake aeleke jiwe….Mimi I’ll be there na mawe zangu khaa! Mama Tiffa @zarithebosslady give us LOCATION Basi …. We need to book tickets EARLY,” aliandika Monree.

VideoMPYA: Justin Bieber kaachia video ‘Company’

Wapenzi wa muziki wa Justin Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieber kaachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo inafanya vizuri mitandaoni, Bieber kaamua kuachia video rasmi ya hit single yake ya‘Company’, enjoy dakika 3 za video yenyewe mtu wangu.
Jibambe

Wednesday 8 June 2016

Drake avunja rekodi ya 50 Cent kwenye chati za Billboard Top 100

Drake aweka rekodi mpya kwenye Billboard Top 100 baada ya wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha Wizkid kukaa kwa wiki sita kwenye chati hizo.
Wimbo huo wa Drake umevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na 50 Cent kwa wimbo wake wa ‘Candy Shop’ kukaa kwa wiki sita kwenye chati hizo, lakini pia albamu ya ‘Views’ nayo imeendelea kuweka rekodi kwenye chati hizo tangu alipoiachia April 28 mwaka huu.
Kwa upande wa wasanii wa kike Adele bado anaongoza kwenye chati hizo za Billboard Top 100 kwa wimbo wake wa ‘Hello’kukaa wiki sita.