flash3

Friday, 18 January 2013

PREGNAT AND PROUD: SHAKIRA AONYESHA MIMBA YAKE AKIWA NA BIKINI TOP

Ready and waiting: Shakira and Gerard Piqué have posed for a series of intimate shots, showing off her baby bump  

Shakira na mpenzi wake mcheza mpira  Gerard Piqué  wameachia picha kadhaa zinazoonyesha uka uzito wake wakisherehekea ujio wa mtoto wao wakwanza
 akiwa amevaa bikini top na sketi, huku boyfriend akiwa hana shati, picha inaonyesha ukaribu wao wakiwa wanasuburi ujio wa mtoto wao wakwanza wakiume

 Picha hizi ambazo zilipigwa na Jaume Laiguana, zilitupiwa kwenye mtandao mara baada ya wawili hao kuamua kuungana na UNICEF ku host a virtual baby shower.
Not long now: The Colombian singer shows off her amazing pregnant shape in the snaps wearing just a pair of loose-fitting trousers and a bikini top  

Shakira, 35, amefata nyayo za ma staa kama  Demi Moore and Britney Spears,  ambao walishawahi kupiga picha za namna hii wakati wa muda wa mwisho mwisho wa mimba zao.
Pregnant and proud: Shakira and her footballer beau Gerad Pique have posed for this beautiful picture which shows the singer in all her pregnant glory 

Shakira na mchezaji huyu wa FC Barcelona walikutana mwaka 2010, pale alipotokea kwenye music video ya Shakira, (waka waka, this time for Africa) ambao ulikua ndio wimbo wa kombe la dunia.
Beautiful: In the second image, taken as part of the 35-year-old's virtual baby shower alongside UNICEF, Sharkira stands in a flowing almond gown

Tuesday, 15 January 2013

MAMILIONI YA WAUMINI WA DINI YA HINDU WAJISAFISHA DHAMBI ZAO

Hindu
Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu wakiingia kwenye mto wanaouita mtakatifu wa Ganges wenye maji ya baridi, kwa kile wanachoamini kunawasafisha madhambi yao
Whip my hair: The holy men presented an arresting sight at the first day of the festival
tayari watu zaidi ya milioni tatu washaingia katika mto huo kwa jana asubuhi na huku wakitegemea kufika watu million 11 kuingia kwenye mto huo kufikia jana jioni,  kwa ushahidi wa afisa mkuu wa maadhimisho hayo, Mani Prasad Mishra
Procession: A child adorned with marigolds is carried by sadhus on the way to the Sangam
Dawn: A devotee is up at the break of day to pay his respects to the gods in Allahabad
ALLAHABAD
Hindus
Long journey: A foreign devotee joins other pilgrims in prayer at a festival which will go on for over a month
Siku ya jana inachukuliwa kuwa ni siku yenye kheri sana kutokana na kuwa ni siku ya maadhimisho ya siki 55 yajulikanayo kama Kumbh Mela
Contemplation: An Sadhu closes his eyes as he prays while bathing in the confluence of the Yamuna and Ganges rivers
Taking the waters: Thousands of holy men return to camp after taking a dip in the river
Hindu devotees
Hindu holy me
India
Gathering: Millions of pilgrims gather in the early morning light to show their devotion on the first day of the Maha Kumbh Mela
Sights and sounds: A Sadhu blows a conch shell as other Sadhus or Hindu holy men bathe
Crowd: More than 110million people are expected to make their way to the city for the 55-day festival
Mystical: The festival commemorates a famous incident from Hindu mythology
Waumini hao wanaamini kuwa kuoga kwenye mto huo ni kujisafisha madhambi na ku
Kumbh Mela
Polisi wakipiga doria
Mamilioni ya waumini wa dini ya hindu wakiingia kwenye mto wanaouita ni mtakatifu wa Ganges illions of Hindus followed naked holy men into the cold waters of the Ganges today as part of the world's largest gathering of people.
The ceremony in the Indian city of Allahabad came on the most auspicious day of the Maha Kumbh Mela, a 55-day religious festival which is expected to attract well over 100million bathing pilgrims.
A top festival official said nearly 3million people had bathed by late morning and 11million were expected to enter the frigid water by the end of Monday.

Saturday, 12 January 2013

Hivi Ndivyo Ilivyo Kuwa Katika Tafrija Select 2013 Party

Utamu Wa siku.......
Msanii Boi.....Kutoka Mld
 Msanii J-Star.
Susumila Akifuatilia Kwa Makini Yanayoendelea.
Msanii Kanja Boy Kumbe Mtulivu.
Msanii Antonio Wa Kundi La Bibblelizers.
Mkurugenzi Wa Dream Achievers Safe Jira
Dazla Na Fatty S
Hawa Nao Walifika Tamashani
Mwalimu Wa Chuo Kikuu Cha Mashav Mashav University Akiwa Katika Lesson Yake Exclussive.
Boss Wa Pwani Fm(Left) Mwenye Blak Zeithun Omar, Mwenye Jijjab, Palomma, Na wamwisho Mama Kalai.
Boss Wa Pwani Fm Akikata Keki Pamoja Na Paloma.


Kalicha Na Chikuzee...
Walihidhuria Pia........
Mtangazaji Mafimbo Akiwa Amechafuliwa Keki akiwa Na Promota Matole.

Wanafunzi Tamashani
Dream Achievers
Mafimbo, Suma, Lai Na Wanafunzi

Mike Bwax  Na Jackson


Friday, 11 January 2013

MACHANGUDOA NCHINI BRAZIL WAANZA KUJIFUNZA KIINGEREZA KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA NA MABARA

Christ the Redeemer
  Machangudoa katika moja ya miji mikubwa nchini Brazil wameanza kujiunga na madarasa yanayotoa elimu ya bure ya lugha ya kiingereza kuelekea kwenye michuano ya kombe la mabara na 2014 World Cup. 

Cida Vieira, raisi wa chama cha machangudoa katika jiji la Belo Horizonte, alisema juzi Jumanne kwamba machangudoa 20 tayari walishajiunga na kozi hiyo na anategemea wengine kama 300 katika kundi la wanachama 4,000 kuwafuata wenzao. 

Chama cha hicho kimeandaa madarasa na sasa wanatafuta waalimu. 

"Sidhani kama tutapata matatizo ya kuwapata waalim wa kiingereza kutoa elimu ya bure," alisema. "Tayari tumeshapata wanasaikolojia na madaktari watakaotoa huduma bure." 

Amesema madarasa yataanza kutoa elimu kuanzia mwezi March na yatadumu kwa muda wa miezi nane. 

"Litakuwa jambo muhimu kwa wasichana ambao wataweza kutumia lugha ya kiingereza ili kuzungumza na wateja wao na kukubaliana bei na vitu vingine." aliongea Cida kupitia simu. 

"Pia kwa sababu hiyo hiyo tutakuwa tunatoa elimu ya lugha ya kifaransa na kiitaliano." aliongeza.

Biashara ya kujiuuza ni halali huko nchini Brazil. 

Uwanja Mineiro uliopo kwenye mji wa Belo Horizonte
unachukua watazamaji 62,000, na utatumika kuchezewa mechi tatu kwenye kombe la mabara na mechi 6 kwenye kombe la dunia.

Thursday, 10 January 2013

HUYU NDO MTOTO WA MIAKA 6 ALIYEIMBA CHORUS YA WIMBO WA MSANII ROMA "2030" NA HII NDIO INTERVIEW ALIYOFANYIWA MTOTO HUYU


Ifuatayo ni Interview kati ya HZB na Story na Baba yake.


HZB; Una mwika mingapi?  
Story; sita na nusu.

HZB:Unasoma darasa langap?

Story: nimemaliza chekechea   YWCA Buguruni malapa.


HZB: Baba kwa nn umeamua kumuita mwanao story?  

Baba: Jina hili linanihusu mimi pamoja na yeye kwa sababu wakati anazaliwa mimi nilikua naishi hostel alipokua nikamchukua tukaishi naye, pia mimi nilikua mtoto wa mtaa,kingine yeye mwenyewe anapenda sana story hata ukiwa unamuadithia kitu anatulia kabisa, so kutokana na matukio hayo nikaona jina la story linamfaa.

HZB: Umekigundua vip kipaji cha mwanao?


Baba: Tangu alipo kuwa na miaka mitatu, mimi kazi zangu ni kuuza CD pale ilala sasa mara nyingi nikiwa na weka music naona dogo anakua anapenda zile melod na anakua anaimba mwenyewe,ila kilichonipa moyo zaidi walipewa nafasi ya kuimba shuleni kwao alifanya vizuri kuliko watoto wenzake pia alipata nafasi ya kuimba siku ya mtoto wa Africa na akafanya vizuri sana.

HZB: Ni wimbo gani alikua akipenda zaid kuimba?

Baba: Ni ule wimbo wa joti mbona usomeki,pamoja na nyimbo za willow Smith.

HZB:Nani msimamizi wa kazi zake?

Baba: Mimi mwenyewe ndo namsimamia.  

HZB:Kwa umri wa Story bado mdogo sana na anaitaji kusoma sana, je atawezaje kumudu shule na muziki?

Baba:Kila kitu kinaitaji usimamizi sio kwamba muda wote atakua ana soma tu kuna muda waziada ambao tutautumia kufanya muziki, pia darasani anafanya vizuri.alishika nafasi ya nne katika watoto 42,

HZB:Amemaliza chekechea je mpango uliopo kwa sasa ni upi?

Baba: kwa sasa natafuta shule na tayar kafanya mitihani semu mbili Olimpio na Diamond  

HZB:Oky nawatakia kila jema katika kazi zenu, ila nakusisitiza sana umkazie kuhusu elimu.

Baba:asante sana,atasoma tu wala usiwe na shaka.

NDOA YA MERCY JOHNSON YAJIBU

 Mercy Johnson ni miongoni mwa wasanii walio katika kumi bora ya wale waigizaji wakike wakali na bora nchini Nigeria.Mwaka 2012 ameufunga vizuri baada ya kujipatia mtoto wake wa kwanza wa k***.
 Mtoto alizaliwa akiwa na afya yake katika hospitali ya John Hopkins huko Baltimore Marekani.…

Britney Spears Kutokuwa Jaji Wa X Factor Msimu Ujao


         Msanii maarufu kutokea nchini Marekani, mwanadada Britney Spears ametangaza kuwa hatokuwa tena Jaji katika mashindano ya X Factor. Taarifa hiyo ameisema Britney mwenyewe kwa sababu kwa sasa anataka kurudi tena katika muziki.
         Britney aliongeza kwa kusema, sasa hivi yupo mbioni kuikamilisha album yake ya nane ambapo atakuwa akisaidiwa na nyota kutoka kundi la Black Eyed Peas Star Wii.i.Am pamoja na producer wake Hit-Boy ambae ndiyo producer aliyetengeneza ngoma ya Jay-Z na Kanye West inayoitwa Niggas in Paris.