flash3

Thursday, 6 December 2012

KENYA WAFANIKIWA KUINGIA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA ZANZIBAR KWA MIKWAJU YA PENATI!

 Wachezaji wa Zanzibr Heroes wakishangilia goli la pili wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole Jijini Kampala
 Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala.
Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala.

Mchezo huu umemalizika kwa Kenya kuifunga Zanzibar kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 120 kumalizika kwa timu hizo kufungana bao 2:2

KAMA WEWE NI SHABIKI WA JACQULINE WOLPER INATUHUSU HII

Msanii wa Bongo Movie almaarufu kama Jacquline Wolper, siku ya leo anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe.Kwa hiyo kama wewe pia unazaliwa siku kama ya leo, basi utakuwa unasherekea siku yako ya kuzaliwa na msanii huyo.Team nzima ya @Fettythebest tunawatakiwa All the best

Wednesday, 5 December 2012

HAWA NDIO MAFUNDI WA PASI ZA MWISHO KATIKA MIAKA 20 YA LIGI KUU YA ENGLAND

Gazeti la Manchester Evening la Uingereza leo limetoa orodha ya wachezaji wanaongoza kwa kutoa pasi za mwisho zilizosababisha magoli katika wakati wa Premier League (1992-2012)

Hii ndio listi kamili ya wachezaji 15 waliotajwa.
1 Ryan Giggs 126
2 Frank Lampard 89
3 Thierry Henry 80
4 Steven Gerrard 78
5 Wayne Rooney 72
6 Cesc Fabregas 71
7 Didier Drogba 55
8 Dennis Bergkamp 49
9 GamstPedersen 48
10 Nani 48
11 Van Persie 46
12 Cristiano Ronaldo 46
13 Paul Scholes 45
14 David Beckham 44
15 Nolberto Solano 42

Big Brother Stargame Star Goldie Unveils Miliki.......

Goldie Susan Harvey performing at Club Rouge
Big Brother Stargamer Goldie Harvey from Nigeria was in town last Thursday launching her latest single 'Miliki' ft our very own Navio.
The show was graced by Kenyan rapper Prezzo who happens to be Goldie's better half after the two hooked up in the Big Brother house. Mad Traxx from Kenya was also at Club Rouge where Goldie was performing live.
Miliki is one of her three singles off her Invasion album and the other two are 'Give it to Me' which she did with J. Martins from Nigeria and 'Skibobo' ft Tanzania's AY who won a Channel O award recently.
Navio was in the UK at the time Goldie unveiled the track to Ugandan fans. According to Goldie Harvey, 'Miliki' is already doing very well in Nigeria and she hopes it does the same in Uganda. Mampi is another stargamer whose tracks, 'Swilili' and 'Why' are doing so well on the Ugandan airwaves.
During her press conference at Club Rouge, Goldie was asked about her relationship with rapper Prezzo and to this she said: "Its only God to tell what's in store for us."

MFANYABIASHARA WA KIKE KUTOKA HUMU NCHINI KENYA AJIUA KWA UPWEKE UINGEREZA

 
Sharon Bukokhe enzi za uhai wake.
 
Sharon Bukokhe akiwa kajipumzisha nyumbani kwake.
MREMBO Sharon Bukokhe, 28,  Mkenya aliyehamia Uingereza, amejiua kwa kujikuta akiishi katika upweke wakati familia yake imetawanyika sehemu mbalimbali duniani.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na vyombo husika, Bukokhe alijiua mwezi Aprili nyumbani kwake kutokana na familia yake kuwa mbali naye, akiwemo mumewe ambaye yuko Afrika Kusini.
                                                Sharon kabla hajaamua kuitoa roho yake.
Ujumbe aliouacha nyumbani kwake kabla ya kujiua ulisema: “Nafikiri maisha yangu ni ya thamani kama yajayo, kwa vile kufa ukiwa na umri wa miaka 25 ni sawa na kufa ukiwa na miaka 88.  Sijutii au kuogopa chochote, najiona nafanya haki tu.”
Mwanamke huyo aliyeonekana kuwa “mwenye furaha zaidi duniani” kwa mujibu wa marafiki zake alihamia Uingereza mwaka 2002 na akahitimu masomo kwenye chuo kikuu cha uhandisi cha Nottingham Trent nchini humo.
Mama yake anaishi Marekani na dada yake yuko Canada, ambapo kaka yake yuko Gillingham, Kent, Uingereza lakini kwa umbali wa kilomita 402 kutoka alipo.
 
Alipohitimu chuo kikuu Uingereza.
 
Picha nyingine enzi za uhai wake akiwa katika vazi murua.

BAADA YA SHARO KUFA SASA MAGAZETI YAANZA KUANDIKA STORY KAMA HII

Ushaicheki Hii, Noma Xana SiyakitamboDully Sykes ft. Diamond + Dimpoz-Utamu