flash3

Wednesday, 8 June 2016

NI RASMI TIWA SAVAGE ASAINIWA NA JAY Z NA SASA ATAKUWA CHINI YA ROCK NATION (@tiwasavage)


Jana imekuwa Rasmi Jay Z amemchukua msanii wa Kwanza Kutoka Africa Kumsimamia Kupitia Rock Nation ambaye si mwingine bali ni Hit Maker huyo wa Eminando, Tiwa Savage.
Tiwa Ametuthibitishia kupitia Account yake ya Instagram kwa kupost Picha akiwa na Jay Z Pamoja na C.E.O wa Mavins Records Don Jazzy katika Office za Rock Nation New York Marekani na kuipa Caption Mavin X Roc Nation 🙏🏽 hii ikimaanisha kwamba Tiwa Atakuwa chini ya Label Hizo 2 yaani Mavins kwa Uapnde wa Kuikaba Africa na Rock Nation kulikaba soko la Dunia.

Wakati Najaribu kufikiria Jinsi ambavyo Mumewe Teebillz Ambaye wameachana Majuzi anavyojiskia Nataka nikupe List ya Wasanii ambao Wako chini ya Rock Nation.
Wasanii wanaofanya kazi chini ya Rock Nation ya Jay Z ni: Jay Z Mwenyewe, Rihanna, Dj Khaled, Dj Mustard, Jay Cole, DJ Khaled , Jay Electronica, Willow, Romans, Big Sean, na wengine.
Nawaza Pia kama Teebillz alisema Mkewe Tiwa Savage anatoka na Don Jazzy, Sasa hivi si ndo atazimia Kabisa sababu watakuwa wanakula sana Upepo wa Angani na Hotel kubwa za Marekani Wakiwa Pamoja.
Hongera sana kwa Tiwa Savage kwa Kula Shavu kubwa na huu uwe Mfano mzuri kwa Wasanii wengine wa Africa haswa wa Kike na Naamini Ubalozi wake na Makampuni kama Pepsi, Forte Oil, na MTN utaongezewa Unono zaidi.

WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WASHEREHEKEA TALAKA YAO

Jumatatu hii Amber Rose na Wiz Khalifa wamesherehekea talaka yao wakiwa pamoja kwenye strip club huko Los Angeles.

Kwa mujibu wa TMZ, Wiz Khalifa amemlipa ex wake huyo [Amber Rose] kiasi cha dola 644,000 kwa ajili ya talaka hiyo na atatakiwa kutoa kiasi kingine cha dola 14,800 kwa ajili ya malezi ya mtoto wao Sebastian.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Amber Rose ameandika: “Too much fun with my Ex hubby last night & no we didn’t celebrate our divorce we celebrated our love 4 each other cuz that never goes away ❤️,7.”
Mahusiano ya wawili hao yameonekana kuwa tofauti japo wameachana lakini wamekuwa wakishirikiana mara nyingi tofauti na mastaa wengine wanapoachana.

CONFIRMED: Man United Yamsajili Eric Bailly

Klabu ya Manchester United ya Uingereza leo June 8 2016 imefanikiwa kumsajili beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Villarreal  yaHispania Eric Bertrand Bailly.
Man United imefanikiwa kumsajili Eric Bertrand Bailly kwa mkataba wa miaka minne, mkataba ambao una kipengele cha kumuongezea miaka miwili zaidi, Eric Bailly alijiunga naVillarreal January 29 2015 na ameichezea jumla ya mechi 47 na mechi 15 kaichezea timu yake ya taifa ya Ivory Coast.


Bailly mwenye umri wa miaka 22 alikuwa ni miongoni mwa wachezaji wa Ivory Coastwaliofanikiwa kutwaa Kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2015 na alicheza jumla ya mechi zote sita za mashindano hayo.

Thursday, 9 July 2015

Totti: A Kenyan Coast Artist Giving Bongo Artists a Run for Their Money (Video)

There has been a silent feud between Kenyan Swahili artists and their Bongo counterparts. However, Kenyan artists seem to be rising to the call and taking up the Swahili mantle, ensuring that the Kenyan fan gets the full potion of Swahili music. Totti is one of the few artists I have come across in a long time that makes me want to replay his music again and again.
Totti’s new song, Wangu is a showcase of the great talent that the Kenyan coast has and it is not just a well written song but one that is accompanied by a great video, showcasing the beauty of the Kenyan coast, sunsets and the great beaches. Totti’s future in music is as bright as the sun rays in this video, I hope he keeps on keeping on.
Here is the video to Wangu, leave a comment and share widely. Let us own the Swahili music space. Totti is a singer, song writer and a producer.

Wednesday, 8 July 2015

Meet The Arguably Hottest & Sêxiest Kenyan Female Preacher - PHOTOS.....

Reverend Lucy Natasha at her office
Most of us are used to seeing lady preachers dressed waggishly or rather one would say they lack sense of fashion.
However in modern times the lady preachers have however decided to dress the 'dot.com' way, they have up-ped their sense of fashion and as we can see the likes of Kathy Kiuna making the perfect examples of lady preachers who would not  mind posting a bikini photo on their Instagram platforms.
Moving on swifffftly,,, their is this hot lady Reverend Lucy Natasha. She is stunning and she happens to be the founder and overseer of Prophetic latter glory Ministries.

Reverend Lucy Natasha has administered the word of GOD in many countries and judging from her Instagram photos, rumor has it that she is single!

Here are some awesome and hot photos of the Reverend we managed to sample:


BEEF kati ya PROD MANECKY na DIAMOND sasa limefikia hapa.....

Dakika kadhaa zilizopita Prod Maneck alipost kitu kwenye account yake ya Instagram kama unavyoona kwenye picha hapo juu na kuonesha kuwepo kwa upendo uliopotea toka zamani kidogo kati yake na msanii Diamond Platinumz. Kwa sasa majamaa hawa wako poa na wako tayari sasa kufanya kazi kama zamani ili kuijenga vizuri Bongo Fleva. 

Jibu la Linah baada ya shabiki kuuliza uhusiano wake na kaka yake Zari (Bosi Mutoto).

Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na kaka yake Zari The Boss ladyambaye ni girlfriend wa Diamond.