Saturday, 15 September 2012
DOGO JANJA ATIMIZA MIAKA 18 LEO............
Leo ni siku ya kuzaliwa
Abdul aziz Abubakary Chande maarufu kama Dogo Janja, msanii kutoka Mtanashati Ent, anasema anajisikia poa sana kutimiza miaka 18 leo na kuingia step nyingine ya maisha Mfb, inamtakia mema maishani na kwenye fani.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment