flash3
Wednesday, 9 May 2012
Lukuvi: Hatuna takwimu za vifo kwa `Babu`
May 9, 2012
By Erick Mwemutsi
Serikali ya Taifa la Tanzania imesema haina takwimu sahihi za vifo vya wagonjwa
waliopoteza maisha kutokana na kukatisha dawa za kurefusha maisha baada
ya kunywa kikombe cha Babu wa Loliondo, Mchungaji Ambilikile Mwasapile,
na haijui alipo kwa sasa.
Mchungaji huyo kuanzia mwishoni mwa mwaka juzi na mwanzoni mwa mwaka
jana alikuwa akitoa dawa ya miti shamba ambayo alidai inaponya magonjwa
sugu ukiwemo Ukimwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),
William Lukuvi, jana alisema serikali yao haina taarifa za mchungaji huyo
wala haijui takwimu sahihi za vifo vya wagonjwa walioacha dawa ya
kurefusha maisha ARVs baada ya kupata kikombe.
Lukuvi aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua
warsha ya viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa kuhusu mbinu
za kupambana na ugonjwa wa Ukimwi.
“Ni kweli serikali ilikuwa inajua taarifa za mchungaji huyo, lakini
kwa sasa haijui yupo wapi na anafanya nini labda waulizwe viongozi wake
wa dini,” alisema.
Lukuvi alisema watu walioacha dawa ya kurefusha maisha baada ya kunywa kikombe walifanya makosa makubwa na kukiri kuwa wengi wao wameshapoteza maisha.Monday, 7 May 2012
Blackban Relegated
Only a win would have given Rovers a chance of avoiding the drop but they were sloppy and shot-shy.
The visitors were lively in the first half, less so in the second, but took their chance to claim a decisive win.
The Scot has regularly been the focal point for abuse from frustrated Rovers fans, unhappy with his management and the way the club is being run by the owners, Indian poultry firm Venky's.
This continued on Monday in the form of mass chanting throughout, a lone fan invading the pitch at the start of the second half and, presumably, the reason why a chicken draped in a Blackburn flag appeared in the Wigan box five minutes into the game and had to be caught by Latics goalkeeper Ali Al-Habsi.
The goal four minutes from time heightened calls for Kean's sacking and the exit of Venky's, which only increased when the final whistle blew to confirm Rovers' fate.
Venky's looked set to be rewarded for sticking with Kean when he led them six points clear of the drop zone following a win over Sunderland on 20 March, but a disastrous run of seven defeats in eight games since then has cost the club.
Their performance here was meek as they limped out of the division. It was only in the second half that they had any attacking impetus and even then this was only intermittently.
The Latics' success is testimony to their manager Roberto Martinez, who has stuck to his passing principles, and owner Dave Whelan, who remained loyal to the Spaniard despite the threat of relegation.
The visitors were sharp throughout, zipping passes neatly around the increasingly wet surface and always looked the more likely to score.
Franco di Santo fired a good chance over, Victor Moses fluffed an even better chance from close range when he misjudged a header from Boyce's cross and Shaun Maloney spurned a header of his own from the same supplier.
In the end, though, none of these mattered as Alcaraz rose highest at the back post to power a header in from a corner to confirm his side's safety and send Rovers spinning into the second tier.
Blackburn have been relegated to the Championship after losing at home
to Wigan, whose Premier League status is secure for next season.
Antolin Alcaraz headed the Latics to victory from a corner late on a rainy and rancorous night at Ewood Park.
Only a win would have given Rovers a chance of avoiding the drop but they were sloppy and shot-shy.
The visitors were lively in the first half, less so in the second, but took their chance to claim a decisive win.
It is a remarkable sixth victory in eight
games for the Latics and leaves them five points clear of the relegation
zone with one game left to play.
The result brings about a disastrous conclusion to what
has been a turbulent season for Blackburn and their manager Steve Kean
and an end to their 11-year stay in the Premier League.
The Scot has regularly been the focal point for abuse from frustrated Rovers fans, unhappy with his management and the way the club is being run by the owners, Indian poultry firm Venky's.
This continued on Monday in the form of mass chanting throughout, a lone fan invading the pitch at the start of the second half and, presumably, the reason why a chicken draped in a Blackburn flag appeared in the Wigan box five minutes into the game and had to be caught by Latics goalkeeper Ali Al-Habsi.
The goal four minutes from time heightened calls for Kean's sacking and the exit of Venky's, which only increased when the final whistle blew to confirm Rovers' fate.
Venky's looked set to be rewarded for sticking with Kean when he led them six points clear of the drop zone following a win over Sunderland on 20 March, but a disastrous run of seven defeats in eight games since then has cost the club.
Their performance here was meek as they limped out of the division. It was only in the second half that they had any attacking impetus and even then this was only intermittently.
Yakubu, who has been one of very few
redeeming features of Blackburn's season, had a close-range volley
blocked on the line and Junior Hoilett, their other shining light, was
clearly caught by a swinging boot Emmerson Boyce, but when referee Mark
Clattenburg waved away the penalty appeals, Rovers hopes were dented.
Blackburn's plight has been compounded by the form of
Wigan, who were rock bottom when Rovers beat Sunderland but, in stark
contrast to Kean's side, have been in scintillating form since late
March, including hugely impressive victories over Manchester United,
Arsenal and Newcastle.
The Latics' success is testimony to their manager Roberto Martinez, who has stuck to his passing principles, and owner Dave Whelan, who remained loyal to the Spaniard despite the threat of relegation.
The visitors were sharp throughout, zipping passes neatly around the increasingly wet surface and always looked the more likely to score.
Franco di Santo fired a good chance over, Victor Moses fluffed an even better chance from close range when he misjudged a header from Boyce's cross and Shaun Maloney spurned a header of his own from the same supplier.
In the end, though, none of these mattered as Alcaraz rose highest at the back post to power a header in from a corner to confirm his side's safety and send Rovers spinning into the second tier.
MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA LULU......
Lulu (katikati) akiingia mahakamani na askari magereza wa k***.
Huku kesi ya inayomhusu Msanii wa filamu za maigizo nchini Tanzania, Elizabeth
Michael ‘Lulu’, jana alipandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi
ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea
wakiongozwa na Kennedy Fungamtama waliwasilisha ombi la kurekebisha umri
wa mshitakiwa huyo kuwa miaka 17 na si 18 kama ilivyowasilishwa
mahakamani hapo.Fungamtama na jopo lake walisema mteja wao ni
mtoto mdogo hivyo kesi hiyo ipelekwe mahakama ya watoto na kuwasilisha
cheti kinachoonesha ana umri wa miaka 17. Upande wa mashitaka umetupilia
mbali ombi hilo na kudai cheti kilichowasilishwa kina mapungufu kadhaa
likiwemo jina la Dyana ambalo halijawahi kusikika likitumiwa na
mshitakiwa huyo.
hatima yake ni gani mwana dada ,huyu jamani?
Big Brother Africa Star-game Launch Party:
Usiku wa jana, jumba la Big Brother Africa lilifunguliwa rasmi tayari kuanza mchezo wa Stargame ambamo Mkenya mwenzetu Rapa CMB PREZOO aliliwakilisha taifa letu huku Jirani zetu Tanzania wakiwakilioshwa na, Hilda na Julio. Macelebs na waalikwa kibao walishiriki kwenye shughuli iliyoandaliwa na Multichoice Tanzania kuwasindikiza washiriki wao na kuwapa support.
DIAMOND ATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA YATIMA
ICON katika mziki wa Bongofleva Naseeb Abdul ‘Diamond’ jana alitoa msaada katika kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre ambacho mwanamuziki TID anadaiwa kula fedha za yatima wanaoishi katika kituo hicho kilichopo Kinondoni Hananasif jijini Dar.
Akizungumza na mtandao huu kabla hajakabidhi msaada huo, Diamond alisema kuwa kikubwa zaidi kilichomfanya hadi atoe msaada huo ni kuguswa na maisha wanaoishi yatima hao.“Unajua siku zote Mungu anasema unachokipata ugawane na wenzako, sasa mimi pamoja na meneja wangu Joffrey a.k.a Joff tumeona tutoe nusu ya kile tulichokipata kwa hawa ndugu zetu wanaolelewa katika kituo hiki,” alisema Diamond.…
Subscribe to:
Posts (Atom)