flash3

Tuesday, 4 December 2012

UMRI WA LULU BADO GUMZO MAHAKAMANI

Msanii wa filamu za kibongo maarufu kama Bongo Movie, Elizabeth Michael alias Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late  Steven Kanumba, siku ya jana ndiyo kesi yake ilikuwa inasomwa katika mahakama ya Hakimu mkazi kisutu jijini Dar es Salaam huku suala la umri wa mshitakiwa huyo likiendelea kuwekwa chini.
Kwa mujibu wa Bw.Kenneth Sekwa ambaye ni Wakili wa Serikali alisema kwamba upelelezi bado haujakamilika  kutokana na umri wa mshitakiwa,kwa hiyo mahakama imeamua kuahirisha kesi yake  na kupeleka mpaka Disemba tarehe 17 mwezi huu.

KAMA WEWE NI SHABIKI WA DULLY SYKES INATUHUSU HII

Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Dully Sykes, siku ya leo anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe kwa hiyo kama wewe pia unazaliwa siku kama ya leo, basi utakuwa unasherekea siku yako ya kuzaliwa na msanii huyo.Team nzima ya mfb-ent.blogspot.com tunamtakia kilala heri.

Iko Hapa Bure Unaweza Ukairushia Jicho, .........DIAMOND PLATNUMZ: NATAKA KULEWA OFFICIAL VIDEO.mov

I'm Not Dating Isaac Lugudde - Zari......

Zari tries out her wedding dress and in pink is Zari donning a Sari on her introduction day
South African based socialite Zari Hassan has been trying out her wedding gown and practising how to walk with it ahead of her day that is yet to be announced. Insider sources say, it should be before X-mas this year though Zari is still tight lipped.
With her controversial love life, It was unfair for her to start off the cat-walk rehearsals before setting the record straight on whether it was Ivan or the basket ball player, Issac Lugudde. This forced her to tweet what she is terming as an official statement on the Ivan-Isaac saga that has left many confused.
"Am not getting married neither I'm I dating Lugudde! My apologies to all parties involved! My kids and work r my priorities." This statement could not go unchallenged as far as the basket baller is concerned but Zari swiftly defended herself.
"We did date a while but as of now I'm setting the record straight", Zari replied to one concerned follower on twitter. Isaac Lugudde was quick at thanking Zari for having cleared the space but his next line left a lot to be desired.
"No need for apologies, PLZ just don't mention my name in ur tweets! Damnnnnn. It's funny how people get used and played in the name of "attention" but it is what it is! Life goes on! lol"
Recently, Isaac got The Boss Lady tattoo on his ribs, still has a wide collection of steamy pics with Zari but all this is fast turning into memories. The former exes, Zari and Ivan are now busy promoting and supporting each other on their forthcoming events.
Zari is behind the Zari All White Party to be held at Guvnor on the 27.Dec.2012 and three days later, it will be the first ever boat cruise by Ivan Semwanga that will take off at Gaba with tycoons paying 1m, Ordinary for men 100,000 and free for the hot bikini babes.

Monday, 3 December 2012

Cheki Hii Ya Wakali Wa Bongo.....Kamikaze ft Bob Juniour Utamu wa chocolate

Tanzanite Aongea"Diamond Kunifanya Nikohoe Damu na Nywele za Binadamu


Tanzanite, msanii aliyeibuka na kusikika zaidi katika masikio ya fans wengi wa bongo fleva baada ya kutoa wimbo wa ‘Uchawi na Wanga’ ambao ulifanana melody na ‘mbagala’ wimbo uliomtoa Diamond, amesema Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platinum alimloga ili kumpoteza kabisa na alifikia hatua ya kukohoa damu na nywele za binadamu!

Tanzanite ambae pia jina lake linaendana na jina la Dimond (yote madini) alifunguka haya katika interview aliyofanya na Lucas Maziku, mtangazaji wa radio SAUT ya jijini mwanza.


Dah, unajua msema kweli ni mpenzi wa Mungu na siwezi kuficha kwa sababu nikificha ntakuwa sijengi nabomoa, halafu mimi naweza kusema ni ulimbukeni tu wa baadhi ya wasanii wa Tanzania. Mimi nilipata matatizo flani hivi nilikuwa naugua tangu kipindi kile nimeachia wimbo wa wachawi na wanga. 

Yeah, nimeugua kwa kipindi kirefu ugonjwa ambao yaani tumehangaika sana hospitali bila kupata matatizo yoyote kwa sababu nilikuwa nasumbuliwa na kifua, wazazi wangu walikuwa wanajua labda ilikuwa TB kwa sababu nilikuwa na hali mbaya kiukweli.


 Nilikuwa nimepungua nilikuwa nakohoa, nilikuwa natoa makohozi yenye damu. Lakini hayo makohozi yalikuwa yanashangaza sana kwa sababu yalikuwa yanatoa nywele, nywele za binadamu za kichwani.” Alisema Tanzanite.

Aliendelea kufunguka “
Hali ilikuwa mbaya ikabidi wazazi wangu waangalie upande wa pili (waganga wa kienyeji), sasa tulivyoangalia upande wa pili napo mambo yakawa magumu, lakini kila sehemu tuliyokuwa tunaenda, si unajua tena mambo ya upande wa pili siyaamini moja kwa moja lakini kwa nini kwamba kila sehemu niliyokuwa naenda nilikuwa naambiwa mtu flani, mtu flani, mtu flani...

Tumeenda sehemu kama 9 tena mikoa tofauti, umeelewa, lakini kila sehemu tunayoenda tulikuwa tunaambiwa bwana Nasibu Abdul ndiye anaefanya mambo haya, sasa Nasibu Abdul ni Diamond.


Na nikiangalia kisa labda au sababu, hao wazee walikuwa wananambia kuna vitu mlikuwa mnagombania na huyo mtu, hao wazee wenyewe hawajui kwamba ni vitu gani nilikuwa nagombania na huyo mtu, umenielewa vizuri eeh.” That’s Tanzanite akifunguka.


Jamaa kafunguka mengi, ikiwa ni pamoja na kilichomkuta alipokutana uso kwa uso na bwana Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platinum, ilikuwa ni full vitisho kwa mujibu wa Tanzanite mwenyewe.

PICHA ZA SHOW YA MR DIAMOND@CLUB IVORYKARNIVAL CLUB

PEPETA IWAKE SASA MAMBO BADO

MKALI KWENYE STEJI

EEEH MUNGU NISAIDIE NISITOE TROZA LEO NDO RAIS WASAFI ANADAI

VEST NI YANGU ....HAPANA ...NI YANGU...NDO MAMBO YANAENDELEA HAPA...SWALI NI? JE INGEKUWA YANGU WANGEPIGANA...JAWABU KESHO

SI KUPENDA KWANGU MBALI MACHO HAYANA PAZIA ...WAMWONA YULE SISTADOO KAVALIA BLUE DAH NA NDANI YAKE WHITE

RAIS WASAFI AKISALIMIA WATOTO WA KIMOMBASA