Mike Sonko, Mbunge wa Makadara Humu Nchini, na rafiki wa karibu wa Jaguar, mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati
flash3
Monday, 7 January 2013
Sonko Anasalia Kuwa Katika Vichwa Vya Habari........
Mike Sonko, Mbunge wa Makadara Humu Nchini, na rafiki wa karibu wa Jaguar, mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati
PICHA YA WEMA SEPETU YAZUA GUMZO MITANDAO YA JAMII
Ikiwa ni mda mchache tu baada ya kupost picha zake zenye kuonyesha wazi
sehem za tumbo na kifua kupitia Instagram, picha ya wema imeonekana
kusambaa kwa haraka zaidi kupitia mtandao wa jamii "facebook" huku kila
mmoja akitoa maoni yake kutoka na mtazamo wake.
Obedy Bernard Hakika
Ney wa mitego hakukosea, makahaba wenye vwango wako bongo move. Wema ni
mfano tosha usio pngika kwa hilo. Halafu inakuwaje mwanatme mwenye
akili zako umshobokee kahaba kama huyu? Yaani zkitoka tunzo za khb bora
tz huyu malaya hatakuwa na mpinzani.
Hija Punch Boy Mbogo no one like you i love you wema sepetu waache waogee 2 kwamba wewr malaya kwangu wewe ni namba moja
Shabbani Saidi daaaaaaaaa
ujuwe dada zetu wana tabu sana naiyote kutaka kufosi kuwa maalufu kama
watu wa mbele kumbe awajui kama wana jizalilisha kwani lazima uwe malufu
na tama ina wapoza kk tuseme ukweli bwana
Mary Talalela usi
judge na ku-coment bad about her mwache ahave funny nyie mnajua wake au
magirlfnd zenu huwa wanafanya nini nyuma ya pazia ....? sibora wema
.... i love u baby wema sana shoo what u have.
kupitia Instagram wema alipost picha hiyo ikiwa na maneno haya " gats to lose me a few more pounds"
Sunday, 6 January 2013
UWOYA, WOLPER TENA....
‘BODIGADI’ wa mwigizaji kiwango Bongo, Irene Uwoya, aliyetajwa kwa jina moja la Mariam anadaiwa kumshushia kipigo mwigizaji Jacqueline Wolper chanzo kikidaiwa kuwa ni mwendelezo wa bifu lililokuwa limefifia kati ya mafahari hao wa sinema za Kibongo.
Kwa mujibu wa chanzo makini, sheshe hilo
lilitokea Desemba 31, mwaka huu (mkesha wa mwaka mpya) katika Viwanja
vya Leaders Club jijini Dar, wakati mastaa mbalimbali walipokuwa
wakisherehekea kuupokea Mwaka Mpya wa 2013.
MUVI LILIVYOANZA
Chanzo hicho makini kiliweka ‘pleini’ kuwa, wakati shamrashamra za mwaka mpya zikiendelea, ghafla bodigadi huyo wa Uwoya, alimvaa Wolper aliyekuwa anacheza muziki na kuanza kumvuta cheni yake kisha kumshushia kipigo ‘hevi’.
“Mariam na Uwoya walikuwa wamekaa pamoja wakipiga kilevi na kustorisha, ghafla tukashangaa mpambe huyo ameinuka na kwenda kumvaa Wolper ambaye alikuwa bize kucheza muziki,” kilisema chanzo hicho na kuongeza:
“Uwoya atakuwa kamtuma kwa sababu haiwezekani wakae wote halafu dakika chache mbele, ainuke na kwenda kumfanyia fujo mwenzake (Wolper). Hapa kuna kitu.”
UWOYA AMKANA BODIGADI
Tofauti na ilivyodhaniwa na wengi kwamba bodigadi huyo alitumwa na Uwoya, baada tukio hilo Klabu ya Bongo Movie Unit iliitisha kikao cha dharura ambapo ilidaiwa kuwa Uwoya alikana kuhusika na akamlaani Mariam kwa kitendo hicho cha kumfanyia vurugu Wolper.
“Wasani wengi walijua Uwoya ndiye aliyetengeneza mchongo mzima lakini kikao kimekataa na kumuona Mariam ndiye mkosaji,” kilisema chanzo hicho.

Jacqueline Wolper.
WOLPER ANASEMAJE?Baada ya kusikia maelezo ya kikao cha klabu, paparazi wetu alimtafuta Wolper na kumuuliza juu ya ishu hiyo ambapo alijibu kwa kifupi:
“Siwezi kuzungumza chochote kuhusu hilo, watafuteni viongozi wetu,” alisema Wolper.
KUMBUKUMBU MUHIMU
Kumbukumbu inaonesha mwaka jana, mastaa hao waliwahi kuwa ndani ya bifu zito ambapo baadaye walipatanishwa na mdau wa burudani maarufu kwa jina la Daudi Kipunguni maeneo ya Mlimani City jijini Dar.
HIZI NDIO IDADI ZA SHOW ALIZOFANYA BEN POL 2012
wote tunafamu kuwa mwaka 2012 umekuwa ni mwaka wa mafanikio sana kwa
msanii Ben pol, amekua akifanya shows hapa na pale karibu kila weekend,
leo hii ametoa idadi ya shows alizozifanya mwaka 2012.
"kwa kuhesabu hivi kwaharakaharaka zinaweza zikafika hata 60... na ndio
mwaka pekee ambao nime experience kufanya show katika ya wiki, mpaka
nafanya show jumatano.....hakuna mwaka ambao nimefanya shows nyingi kama
mwaka 2012....karibia kila wiki nimekuwa nikifanya shows...ilifika
point nikawa sijui tarehe zangu ambazo zimeshalipiwa mpaka nipekue diary
kufaham...zaidi namshukuru mungu na wadau na fans pia" amesema Ben
Pol...fanya kumsikiliza hapo chini
HII NDIO SABABU YA OMMY DIMPOZ KUSHINDWA KUMTAMBULISHA DEM WAKE

Friday, 4 January 2013
BARNABA: NASHUKURU NIMENUNUA GUITER LINGINE BAADA YA KUIBIWA
Siku kadhaa baada ya kuibiwa guiter lake nje kidogo ya office za THT,
Barnaba sasa amenunua guiter jipya London ambapo yupo huko akifanya
shows katika miji mbaliu mbali
"nashukuru sana kwasababu nimefanikiwa kununua guiter jipya baada ya
kuibiwa langu na mtu ambae nahisi alikua ananifatilia kwa mda mrefu, ila
nashkuru sana nimenunua lingine kwa paund ya uingereza 350 ambayo ni
kama millioni mbili na upumbavu." amesema barnaba
nadhani utakua umeteleza kidogo, kwa rate ya leo paund 1 ni sawa na
shilingi 2544, inamaana kwa paundi 350 ni sawa na shilingi 8,90400
Thursday, 3 January 2013
Mario Balotelli & Roberto Mancini in 'training ground bust-up'
Manchester City striker Mario Balotelli appears to have been
involved in a training ground bust-up with manager Roberto Mancini.
A picture agency has released photographs it says were
taken on Thursday morning of the pair having to be separated by staff
and team-mates at Carrington training ground.
City have declined to comment.
Mancini is expected to answer questions about the incident at his news conference on Friday morning.
The pictures appear to show Mancini shouting and gesticulating towards Balotelli, who has scored three goals in 21 appearances this season.
One photograph shows the pair face to face with Mancini pulling Balotelli's training bib, while in another, the striker appears to be pulled away by a member of staff.
The 22-year-old has been involved in a series of controversies since his £24m move from Inter Milan in August 2010.
In December, Balotelli was set to take
City to a tribunal over a two-week fine for missing 12 games last season
because of suspensions.
He later
dropped the action
and accepted the punishment, prompting Mancini to say he was willing to
give the striker another chance.
In November, Mancini said that he had no intention of selling the player despite his tempestuous relationship with his fellow Italian.
Last season, Balotelli scored 17 goals in all competitions for City but was sent off twice.
After his red card against Arsenal in April, Mancini cast doubt over Balotelli's future at the club saying he didn't "have any words for his behaviour."
Mancini has often talked about the challenges of managing the player he says could be one of the best in the world .
In April, the City manager joked that he might have punched Balotelli in the head every day if he were his team-mate.
He said: "I don't speak with him every day, otherwise I would need a psychologist, but I speak with him because I don't want him to lose his quality."
But Mancini has also stated that Balotelli's behaviour on and off the pitch is blown out of proportion , saying "every time Mario does something, [it] is like a war.
Subscribe to:
Posts (Atom)