flash3

Monday, 7 January 2013

Sonko Anasalia Kuwa Katika Vichwa Vya Habari........

 

 Mike Sonko, Mbunge wa Makadara Humu Nchini, na rafiki wa karibu wa Jaguar,  mwenye vioja kila kukicha ndani ya bunge, baada ya kuingia huku akiwa ametupia hereni maskioni, jana alionekana na kioja kingine baada ya kuingia bungeni akiwa ameonyoa burand new hair style ya kijiduku kidogokidogo (mohawk), na kukiandika "PEACE" katikati

No comments:

Post a Comment