flash3

Thursday, 31 January 2013

WEMA:MAPENZI YAMEAMIA KWA CK BAADA YA DIAMOND KUMZIGUA

                         
 Zimepita siku chache tu baada ya Diamond ku post picha akiwa amelala na Penny mpaka kupelekea watu wengi kuzungumzia picha hiyo ambayo ilileta utata,sasa nyingine mpya hii hapa kutoka kwa Wema Sepetu akiwa na CK.
                                https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp_ec3wNmn_HwLdmJ0naI_PnFdxhSRu1yrxtRRmTrcc9H232OrLppoUBBxr0xGpCgKAs1e0ZGfVY4_uknfeaOHPUj-6lACWe4OqhkDXNd4mj8J8ZavM_XJRykXvu-ZE0TZsoy4WJyCMBRi/s1600/wema+sepetu..jpg
  

SUMA LEE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Msanii Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi. 
"BABA MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI."
  Suma hajaelezea chochote cha zaidi kama yuko wapi, kafariki kwa ugonjwa gani na mazishi yatakua wapi...Tumejaribu kumpigia sim hapatikani huku wengine wakidai yuko nje ya nchi..habariz aidi utazipata hapa, kadri tutakaviyozipata...Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. AMEN
 

Monday, 28 January 2013

TIMBERLAKE NA JAY Z WAINGIA MTAANI KUSHOOT "SUIT AND TIE

suit-and-tie-1
Ijumaa ya wiki iliyopita, katika mitaa ya LA, mida ya mchana, walionekana wakishoot video ya wimbo wao mpya Suit and Tie, huku wakionekana tayari kuimudu hali ya hewa ambapo kulikua na mvua za hapa na pale.(under umbrella). collable lao saa hii limepanda mpaka nafasi ya 4 katika billboard chart top 100, kutoka nafasi ya 84 wiki yake ya kwanza. album inayofata ya Timberlake 20/20 experience itakua ni album yake ya kwanza ndani ya miaka saba, ambapo mara ya mwisho aliachia mwaka 2006

BREAKING NEWS:LULU KUACHIWA KWA DHAMANA

  Baada ya wanasheria wa msanii huyo ambao ni Peter kibatala, Kennedy Fungamtama na Fulgence Massawe,  kutuma maombi ya dhamana ya kesi ya Lulu ili isomwe haraka kwasababu muombaji amekaa muda mrefu mahabusu, sasa habari zilizotoka hivi punde kutoka mahakama kuu zinasema lulu ametakiwa kukamilisha masharti aliyopewa, ikiwa ni kuacha hati yake ya kusafiria mahakamani, kuripoti mahakamani kila siku ya kwanza ya mwezi,  na wafadhili wawili kuweka bondi ya Shilingi mil 20 kila mmoja...masharti hayo yakikamilika leo hii ataachiwa huru kuwa uraiani.
Upande wa familia ya Lulu umesema masharti yote yaliyotajwa wanaweza kuyatimiza leo leo hivyo wanasubiri tu jibu la msajili ambae ndio anatakiwa kuhakikisha hayo masharti yametimia kisha ruhusa ya kumkabidhi Lulu kwa familia yake itolewe.
Taarifa za ndani ni kwamba uwezekano wa Lulu kuachiwa upo kuanzia january 29 2013 ambayo ni kesho kwa sababu kuna watumishi wawili wa serikali ambao wapo kikazi mkoani Pwani na ndio walitakiwa kutia saini dhamana ya Lulu wakiwa ni sehemu ya masharti.

Friday, 25 January 2013

MASHABIKI WA DIAMOND WAJIULIZA MASWALI MENGI SANA JUU YA PICHA HII

Msanii wa Bongo Fleva maarufu Diamond Platinum siku ya leo kupitia katika mitandao mbalimbali kulikuwa na  maswali mengi sana juu ya picha ambayo ikimuonyesha Diamond Platinum akiwa amelala na Penny.

Hii ni moja kati ya page ya facebook ambayo watu wengi wakiulizana maswali juu ya picha hiyo.

Wednesday, 23 January 2013

SHAKIRA NA PIQUE WAPATA MTOTO WA KIUME


Mwimbaji wa muziki wa Pop kutoka Colombian anayefahamika kwa jina la Shakira amejifungua mtoto wa kiume jana katika mji wa Barcelona.
Taarifa hizi tuliweza kuzifahamu baada Shakira na kuandika katika kupitia website na ujumbe aliyoandika ni huu hapa"We are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of Shakira Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in Barcelona, Spain.

The name Milan (pronounced MEE-lahn), means dear, loving and gracious in Slavic; in Ancient Roman, eager and laborious; and in Sanskrit, unification.

Just like his father, baby Milan became a member of FC Barcelona at birth.

The hospital confirmed that the couple’s first child weighed approximately 6lbs. 6 ounces, and that both mother and child are in excellent health.

Friday, 18 January 2013

Theo Walcott signs new long-term Arsenal contract

Theo Walcott has signed a new three-and-a-half-year contract with Arsenal, worth £100,000 a week.

The 23-year-old England forward rejected a five-year offer worth £75,000 a week in August and could have left on a free transfer at the end of the current season.
Talks stalled after Walcott turned down that proposal but progress was made in the last two weeks.
Arsenal's top scorer has also been rewarded with a £3m signing-on bonus.
He signed the deal at the club's London Colney training ground on Friday afternoon, ending months of speculation about his future.
Arsenal lawyers and the player's advisors spent all of Thursday in negotiations before agreeing on most issues by 19:00 GMT.
The club had tabled a five-year contract worth a reported £90,000 a week, while Walcott favoured the three-and-a-half-year deal on a salary above £100,000.

But a consensus was reached and the legal formalities - including an agreement on the complex area of image rights - were completed on Friday morning.
Walcott was upset with manager Arsene Wenger's decision to use him mainly as a substitute earlier in the season, but he has since regained a regular starting place.
It marks the end of another protracted contract saga involving the north London club, yet this time they are keeping their player.

Last summer Arsenal lost Robin van Persie to Manchester United as he entered the last year of his deal, and in 2011 they sold Samir Nasri to Manchester City when he was in the same situation.
Mathieu Flamini was in an identical position to Walcott in 2008, and he chose to see out his final six months before joining AC Milan.
Arsenal also saw Cesc Fabregas move to Barcelona following lengthy speculation about his future, although the Spaniard had longer left on his contract.
But Walcott has instead committed his future to the team who signed him from Southampton as a 16-year-old in 2006.
Arsenal rebuffed a bid for him from Manchester City towards the end of the last summer's transfer window, while Liverpool, Chelsea and Manchester United had also expressed an interest.
Arsenal have now agreed new deals with Walcott, Jack Wilshere, Aaron Ramsey, Kieran Gibbs, Alex Oxlade-Chamberlain and Carl Jenkinson as Wenger seeks to build his squad around a British core.