
Mshindi wa Big Brother Africa 2013 “Delish Matthews” ambaye alinyakua
dola za kimarekani laki tatu alisherekea Birthday yake kwa kutimiza
miaka 23 siku ya jana.
Alipokea zawadi mbalimbali, moja ya zawadi ni gari aina ya Volkswagen Golf GTI. Check zawadi nyingine alizopokea
No comments:
Post a Comment