The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Tanzania Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka siku
yoyote kuanzia kesho.Video hiyo ilifanyika nchini South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka kufikia viwangi vyao.
MwanaFA
Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa
kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound
City...Yes,itaonekana kote huko...#AfrikaNzima...#GoingPlaces...#KeepingTheGoodMusicAlive
No comments:
Post a Comment