flash3

Thursday, 7 November 2013

Wilshere and Gibbs in England squad

Jack Wilshere in action for England

Jack Wilshere and Kieran Gibbs have been called up to the England squad for upcoming friendlies against Chile and Germany.
The Three Lions entertain the South American side on November 15 before taking on Joachim Low's team four days later.
Squad in full:

Goalkeepers
Fraser Forster, Joe Hart, John Ruddy
Defenders
Leighton Baines, Gary Cahill, Ashley Cole, Kieran Gibbs, Phil Jagielka, Glen Johnson, Phil Jones, Chris Smalling, Kyle Walker
Midfielders
Ross Barkley, Michael Carrick, Tom Cleverley, Steven Gerrard, Jordan Henderson, Adam Lallana, Frank Lampard, James Milner, Andros Townsend, Jack Wilshere
Forwards
Jermain Defoe, Rickie Lambert, Jay Rodriguez, Wayne Rooney, Daniel Sturridge, Daniel Welbeck

Wednesday, 6 November 2013

Arsenal train ahead of Dortmund trip............

Wenga Ajkiendelea Kuandaa Wanawe Kwa Kizaa Zaa Cha Leo Usiku Dhidi Ya Wajerumani Dortmund, Ambao Katika Mechi Ya Mkondo Wakwanja Wa Dimba Hilo La Klabu Bingwa Brabnai Ulaya, Wema Dortmund Walitok,a Ugani Emirates Wakiwa Na Tbasamu Baada Ya Kuwachoma Washika Bunduki 2-1. Leo Itakuwaje???????Wojciech Szczesny

Ramsey is Arsenal Player of the Month.............

13/14: Arsenal 4-1 Norwich City - Aaron Ramsey
(Aaron Ramsey celebrates his goal against Norwich)

Aaron Ramsey is the Arsenal Player of the Month for the FOURTH time in succession! 
The Welsh midfielder was in dazzling form for the Gunners during October as they moved to the summit of the Premier League and their Champions League group.

In a extremely tight contest, Ramsey received 26.8 per cent of the vote, just edging new signing Mesut Ozil into second spot, with Olivier Giroud in third.
Ramsey started the month as he would go on, claiming an assist for Ozil's first goal for the Club against Napoli.
The 22-year-old scored a wonderful individual effort against Norwich, before setting up Ozil for another goal in the same game. The Wales international also added another assist to his growing list by setting up Giroud for Arsenal's second in the 2-0 win against Crystal Palace.

October Player of the Month - Results

Player % of votes
Aaron Ramsey  26.8
Mesut Ozil  24
Olivier Giroud 21
Other  28.2

Fred Dalmasso from Nottingham has been chosen to present the award to Aaron before the Southampton game at Emirates Stadium. He will also receive two tickets to the match.

This season's winners

Month  Player
August, 2013 Aaron Ramsey
September, 2013 Aaron Ramsey

CANDY N CANDY KUMSHTAKI DAZLA..............

 (Dazla Katika Pozi)
Sasa Ni wazi kuwa Dazla Kiduche Msanii Mkali Wa Pwani Ya Kenya itambidi asimame kizmbani kujibu mashtaka dhidi yake na kampuni ya CANDY N CANDY baada yaa msanii huyo kukosa kufuata maagizo ya mkataba kati yake na kampuni hiyo.
Kulingana na Meneja Mkuu wa kampuni hiyo JOE KARIUKI Dazla hakuhitajika kujiandalia show yoyote ispokuwa kuandaliwa na Kampuni Hiyo.
Akizungumza Katika Mahojiano Ya Kipekee Na Pwani Fm, Joe Asema Hana Haja Ya Kuwa Na Mkataba Na Mwanamziki Mwingine kutoka Kanda Ya Pwani Kama Mkuondo Wa Wasanii Hao Ni Uliofuatwa Na Dazla.
( Lebel Ya Campuni CANDY n CANDY)
Hata Hivyo Joe Amehakikisha Kufufua Mkataba Wake Na Fatty S Mkataba Ulio Kuwa Umefifia Baada Ya Fatty Kufanya Makosa Kama Aliyo Yafanya Kiduche.
Aidha Dazla Kiduche Naye Ameikashifu Kampuni Hiyo Kwa kusema kuwa Imekosa Mbinu Za Kuinua Wasanii, Na Inahitaji Kuwa Na Subra Inapoweka Mkataba Na Msanii.
Dazla Hata Hivyo Alisema Kuwa Yupo Tayari Kumkosoa Joe Wakati Wowote Kwa Sababu kHana Muda Wa Kupoteza Na Mtu Amabaye Ana Malengo Ya Kumdororesha Katika alanta Yake Iliyo Tegemeo Lake Na Jami Yake.
(Fatty S Katika Pozi.)
Wakati uo Huo Meneja Joe Alikanusha Madai Yanayo Mwandama Kuhusu Sajili Yake Mpya Baby Madaha.
Joe anadaiwa kuwa na mahusia ya kimapenzi na Mchikicha Huyo Kutoka Taifa La Tanzania Ambaye Kwa Sasa Anaonekana Kungara Sana Katika Fani Ya Uimbaji Na Filamu.
"Baby Madaha Ni Msanii Kama Msanii Mwingine Yule Lakini Tofauti Yake Na Wengine Nilio Nao Ni Kuwa Huyu Mtoto Wa Kike Ana Bidii Zake Na Lazima Tumwangazie."
Katika Hilo Joe alisema Kuwa Mwanadada Huyo Ana Bidii Zinazofaa Kumlipa Na Malipo Ya Bidii Katika Fanii Hii Ni Kujulikana  Kwingi.

BABY MADAHA KUPIGA SHOW JIJINI LONDON

BABY MADAHA KUPIGA SHOW JIJINI LONDON Msanii mkali wa bongo flava Baby Madaha anatarajia kupiga show kali pande za Essex November 30th 2013. Baby Madaha amehaidi kutoa burudani kali kwa mashabiki wake walioko pande za Uingereza.

Mnager wa Baby Madaha “MR JOE KARIUKI” amesema kwamba itakuwa ni bonge la surprise kwa mashabiki wa pande hizo na Baby Madaha atapata nafasi ya kuzindua manukato yake ya “CANDY N CANDY”NA GIFT BAGS ZAKE ZENYE PICHA YAKE

HUDDAH MONROE AMCHAFUA VIBAYA PREZZO

HUDDAH MONROE AMCHAFUA VIBAYA PREZZO X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani kupitia instagram. Ugomvi huo ulianza baada ya Prezo kuweka picha hii picha kwenye instagram


ikiwa na caption zinazosema “Funny how sme past dnt wanna be tense……welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl #UnRulyPreStar #Rapcellency”.
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito inayosema “Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 , Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha, sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.

PROFESSOR JAY ATOA SIRI YA KUFANIKIWA KWA PROMISING ARTISTS

PROFESSOR JAY ATOA SIRI YA KUFANIKIWA KWA UPCOMING ARTISTS Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva nchini Joseph Haule a.k.a Prof. Jiize ambaye hivi karibuni amefungua studio yake inayokwenda kwa jina la Mwanalizombe iliyopo maeneo ya Msasani mwisho ambayo hadi sasa tayari JCB ameshaingia lebo kwenye studio hiyo.

Ikiwa ni kawaida kwa kila studio kuwa na mikakati yake juu ya kuwasaidia wasanii wachanga ili waweze kutoka na kuendelea kimuziki, Jay mbali na kuwasaidia lakini ametoa angalizo juu ya artists wapya wote ambao wanatarajia kuingia kwenye muziki au tayari wapo kwenye gemu na hawajasimama sawa sawa.
“Labda niseme kitu kimoja kwamba mwanzoni watu wa rika zote waliupenda muziki wetu kwa dhati na ikafika kipindi waliamua kuwekeza kwenye muziki kwakuwa mashairi yalikuwa yanafundisha,kuelimisha, kuburudisha,kukosoa na kusifia inapobidi na yote haya yalifanyika ili kuieleza jamii kwamba dhana ya muziki sio uhuni ndio maana wasanii walijitahidi kutoa nyimbo zenye ujumbe,tofauti tofauti kwa jamii.” – Prof. Jay.
“Sasa basi ili hawa vijana wanaochipukia kwenye huu muziki wetu lazima waangalie mbali sana ili kuzidi kuilinda hadhi ya mziki wetu ambayo haikuwa rahisi kuitafuta na kuisimamisha hadi kufikia watu kuiamini Bongo Fleva kama moja kati ya aina ya mziki yenye mchango mkubwa kwa taifa ikiwemo kuondoa vijana wengi vijiweni bila ajira na kuwapa ajira ya kudumu na hata kuishi maisha ya ndoto zao za zamani. Kikubwa ni heshima ya kazi na juhudi ka kwanza ndipo fedha itakuja na kuitumia utakavyo.” – Prof. Jay.