Msanii mkali wa bongo flava Baby Madaha anatarajia kupiga show kali
pande za Essex November 30th 2013. Baby Madaha amehaidi kutoa burudani
kali kwa mashabiki wake walioko pande za Uingereza.
Mnager wa Baby Madaha “MR JOE KARIUKI” amesema kwamba itakuwa ni bonge
la surprise kwa mashabiki wa pande hizo na Baby Madaha atapata nafasi ya
kuzindua manukato yake ya “CANDY N CANDY”NA GIFT BAGS ZAKE ZENYE PICHA
YAKE
No comments:
Post a Comment