Msanii Lypso Wa Cate Ameamua Kuachilia Tarck Yake Dogo Dogo Ifanyiwe Remix, HukuAkitarajia Kuwajumuisha Wakali Wakenya Na Bongo, Wakiwemo Bob Junior, Na DNA.
Track Hiyo Inayozungumzia Maisha Ni Pole Pole, Imekuwa Gumzo La Jiji Na Kupendwa Na Kila Mmoja Huku Ikimpa Jina Lypso.
Lypso Anayejulikana Kwa Nyimbo Za Kuwapa Moyo Vijana Ametaka Hivyo Ili Kujitembeza Kimataifa.
Akizungumza Na Mfb, Wa Kate Asema Yupo Kuwapa Burudani Mashabiki Wake.
No comments:
Post a Comment