Ni muda sasa mpango wa album kutoka kwa Fif haukuwa wazi kutokana na
mambo kibao ambayo yanaendelea ndani ya label ya Interscope. Lakini
katika mahojiano na waandishi wa habari mbali mbali katika club ya Floyd
Mayweather pande za Las Vegas Fif alifunguka na kusema album itatoka
july mwaka huu.

" Nimekuwa fan mkubwa wa ndondi , Nilianza ndondi nikiwa na umri wa
miaka 12 lakini sikupata nafasi ya kufika mbali kama mshikaji wangu
Mayweather ila napata faraja kupitia yeye, nadhani Mayweather ni kama
Mohammed Ally wa kizazi hiki" Alifunguka 50 cent.
No comments:
Post a Comment