BINGWA mashuhuri wa zamani wa uzito wa juu duniani, Mike Tyson,
anasemekana yuko katika hali nzuri baada ya kujibadili na kuwa mwanamke
katika operesheni aliyofanyiwa huko Beverly Hills, Marekani, hivi
karibuni ambapo amebadili jina na anajiita Michelle.
Kuna wakati Tyson alikuwa anajulikana kama “Mtu mwenye sura mbaya zaidi duniani”!
“Watu wanaona ni ajabu mie kuwa mwanamke hivi sasa,” alisema Tyson
ambaye aliwahi kufungwa kwa kubaka, na ambaye amefanyiwa mabadilko
kadhaa ya uso, pua na viungo vingine kwa masaa 16. Aliongeza kwamba:
“Hata nilipokuwa bondia nilikuwa natamani sana kuwa na matiti na nyeti
za mwanamke.”
Iron Mike au Iron Maiden kama anavyojulikana sasa aliyasema hayo
akiwa ametulia huku amevaa wigi la kike, suruali ya ‘jeans’ ya bluu na
T-shirt yenye picha ya Vanessa Bruno ambapo alidokeza kwamba mara sehemu
zote nyeti za kike zitakapojitokeza atawadhihirishia Wamarekani kwamba
yeye si “mvulana mbaya” tena.
Amesema ameutunza uume wake
ulioondolewa katika chupa ili kuwakumbusha wabaya wake waliokuwa
wakimfanyia vitendo vya kuchukiza yeye na “wavulana wazuri” wengine
huko gerezani.
Japokuwa wachambuzi wa masuala ya ndondi mwanzoni
walishangazwa na maneno hayo ya Tyson, wengi wamekiri kwamba alama za
yeye kupenda hivyo zilikuwepo.
“Mmoja
amesema kwamba: “Huko nyuma, alikuwa anapenda sana kuvaa sana glovu za
kike, viatu virefu vya ngozi vya kike na magauni ya hariri, na pia
alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana heleni.”
No comments:
Post a Comment