flash3

Monday, 22 April 2013

UTAFITI UNAONYESHA KUSOMA SANA KUNAONGEZA KIMO CHA UREFU WA BINADAMU

hghtmeasure_19912_lg
Utafiti mpya unaonyesha kuwa kiwango cha elimu kina uhusiano mkubwa na kimo cha urefu wa binadamu. Wataalamu wa masuala ya Afya wamegundua kwamba ukiwa na elimu hafifu uko matatani kupungua urefu hasa katika kipindi cha uzee wako.
Sijui wangapi kitaa wametoroka shule enzi za skonga, huu msala huenda ukawa unakuhusu na mbaya kabisa ni kwamba hauna dawa ya kuzuiya.
Shule ni muhimu kuna manufaa kadha wa kadha hata ukizeeka mambo mengine yatakuwa mepesi kwasababu ya misingi bora utakayokuwa umeweka.

No comments:

Post a Comment