PICHA HIZI MBILI UNAWEZA UKAJIONEA UPANDE WA KUSHOTO NA KULIA NI MFANO WA MAPAFU YA BINADAMU... UVUTAJI WA SIGARA TUNASHAURIWA NA MADAKTARI KOTE DUNIANI NI HATARI KWA AFYA ZETU..... ANGALIA KWA MAKINI PICHA YA KUSHOTO INAONESHA MAPAFU YA BINADAMU AMBAE SIO MVUTAJI SIGARA NA PICHA YA KULIA INAONESHA MAPAFU YA BINADAMU AMBAE NI MVUTAJI SIGARA..... HALI HII INATISHA...UVUTAJI WA SIGARA UNASABABISHA MZUNGUKO WA DAMU KWENYE MAPAFU YA MWANADAMU KUWA MDOGO NA HATA MZUNGUKO WA HEWA KWENYE MAPAFU KUTOFANYA KAZI KWA UFASAHA....!!
|
No comments:
Post a Comment