ikiwa imepita wiki moja tu tangu picha za muonekana mpya wa Bob jr
kusambaa, akiwa amepaka rangi nywele hasa hasa kwenye kiduku, leo hii
pia amanitumia picha za muonekana wake mpya kwa mara nyingine tena akiwa
amekata nywele zote. sijui inawezekana akawa anaanza kupitia process ya
kukua au ndugu wamemshauri hivyo maana bado anaendelea kupiga show zake
nchi ambayo baba yake na wadogo zake wanaishi. leo hii Jr yupo
Denmark, kesho atakuwa Norways kwenye show ambayo alitakiwa kupiga Ommy
Dimpoz na baada ya hapo ataelekea Swizerland siku ya jumapili na
kukamilisha show zake zote.
No comments:
Post a Comment