Uhusiano wa wawili hawa unazidi kukua na unatoa nafasi ya wengi kuamini kwamba kolabo au ushirikiano mkubwa zaidikwenye kazi za wawili hawa vinaweza kutokea muda wowote kuanzia sasa.
Ni
stori ambayo imechukua headlines sana kwa sababu wasanii wengi wa
Marekani wanapokuja Afrika wengine hukataa hata kupiga picha au kukaa
sehemu moja backstage na wasanii wa Afrika, wengine pia hawaruhusu
kabisa Video Camera iwachukue wakipiga picha na watu manake wanaogopa
inaweza kutumika kibiashara.
|
No comments:
Post a Comment