An American famous business magazine owned by Forbes, Inc. yani forbes, once again wametoa orodha ya majina mapya ya wafanya biashara wakubwa ambao wametajwa kuwa ndio top bilioneaz wa dunia mwaka 2013 kutokana na kumiliki mkwanja mrefu.
1.Carlos Slim Helu
Huyu ndio bilionea anaeshika nafasi ya kwanza. Utajiri wake ni dola bilioni 73. Source of wealth ni Telecom
2.Bill Gates
Bill Gates anashika nafasi ya pili kwenye hii top 20. Utajiri wake ni dola bilioni 67. Chanzo cha utajiri wake ni kampuni ya microsoft.
3.Amancio Ortega
Amancio anashiika nafasi ya tatu, utajiri wake ni dola bilioni 57. Source of wealth: Zara.
4.Warren Buffett
Warren utajiri wake ni dola bilioni 53.5. Source of wealth: Berkshire Hathaway.
5.Larry Ellison
Utajiri wake ni dola bilioni 43. Source of wealth: Oracle
6.Charles Koch
Utajiri wake ni dola bilioni 34. Source of wealth: Diversified
7.David Koch
Utajiri wake ni dola bilioni 34, Source of wealth: Diversified.
8.Li Ka-shing
Utajiri wake ni dola bilioni 31, Source of wealth: Diversified
9.Liliane Bettencourt & family
Utajiri wake ni dola bilioni 30, Source of wealth: L’OrealLiliane Bettencourt
10.Bernard Arnault
Utajiri wake ni dola bilioni 29.
11.Christy Walton
Net worth: $28.2 billion, Source of wealth: Wal-Mart.
12.Stefan Persson
Utajiri wake ni dola bilioni 28.
13.Michael Bloomberg
Utajiri wake ni dola bilioni 27, Source: Bloomberg LP.
14.Jim Walton
Utajiri wake ni dola bilioni 26.7 billion, Source: Wal-Mart
15.Sheldon Adelson
Utajiri wake ni dola bilioni $26.5 billion, Source of wealth: Casinos
16.Alice Walton
Utajiri wake ni dola bilionioni 26.3, Source: Wal-Mart
17.S. Robson Walton
Utajiri wake ni dola bilioni 26.1, Source of wealth: Wal-Mart.
18.Karl Albrecht
Utajiri wake ni dola bilioni 26, Source of wealth: Retail
19.Jeff Bezos
Utajiri wake ni dola bilioni 25.2, Source of wealth: Amazon.com
20.Larry Page
Utajiri wake ni dola bilioni 23, Source of wealth: Google
No comments:
Post a Comment