flash3

Saturday 7 July 2012

ALBAM YA DRAKE YAINGIA TOP 10 YA 2012 ALBAM ZILIZOUZA SANA


'Take care' album ya drake aliyoiachia mwishoni wa mwaka 2011 imeshauza zaidi ya kopi 500,000 kwa mwaka huu pekee.
Nielsen imetoa ripoti ya mauzo ya katikati ya mwaka 2012 na albam ya msanii wa hiphop Drake Take care imekamata nafasi ya 9 kwa jumla ya mauzo.
Take care imeuza karibu kopi 549,000 physically na kwa digital kwa  miezi sita ya mwanzo wa mwaka huu . hii imekuwa ni nafasi tisa nyuma ya "21", album ya Adelle ambayo imeuza kopi  3,600,000 mpaka leo hii. kwa wiki hii yote Take care imeuza kopi 1,795,000.
The Cash Money/Young Money/Universal Records release pia imeshika nafasi ya 5 kwa mauzo ya album digitally ambapo ameuza takribani kopi  251,000.

No comments:

Post a Comment