flash3
Wednesday, 4 July 2012
Alkeia Luv Aahidi Kubadilisha Taswira Ya Muziki Pwani....................
Ni mda mrefu mziki wa Kizazi kipya Pwani umekuwa ukidharaulika wengi wakiuchukulia kuwa wa watu wasio jielewa katika jamii, lakini hilo limekuwa kama hekaya baada ya uwepo wa wanamuzikli wenye tariba pamoja na wapigaji ala za muziki kuzuka pwani.
katika pilka pilka zetu za hapa na pale kupitia mtandao wa Mfb Ent, tulikutana na Mwiba wa Muziki wa mapenzi pwani Alkenia Luv aliyetamka kuwa mziki pwani una heshima kufuatia kiwango ulicho fikia kwa sasa.
Akizungumza na Mtandao huu Alkenia, adokeza kuwa wana muziki Mombasa ni sharti watilie maanani swala la kuimarisha kazi zao wakiwa na azma ya kubadilisha sekta ya kujjirusha hapa pwani.
wakati ,uo huo mwimbaji huyo alifafanua kuwa sasa ni wazi kuwa watokao nje ya jimbo hili washaanza ,kuuheshimu mziki wa eneo hili huku wakiutaja kama mziki wa moyo.
alkenia aliyekuimbia nyimbo....Moyo, Kimbia, Baby Why na Daktari aliomuhusisha mwambaji anayetikisa jimbo hili Pia vile vile, P Day, amesisitiza kuwa mashabiki wa muziki huu hapa pwani lazima wajitokeze kwa matasha yanayo andaliwa na mapromota wa wana muziki hawa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kenya luv yuko juu namkubali kwa sana tu
ReplyDelete