flash3

Sunday 8 July 2012

Eliano Mtaliano pamoja Ruth Mukabi wapamba Tamasha la muziki wa injili.........

Msanii Eliano akiwa katika Poz la Picha(msanii wa Nyimbo za Injili)
Lilikuwa tamasha la kipekee ambalo lilikuwa limeandaliwa huko Mariakani ambapo wanamuziki wengi wenye sifa hapa mkoani walitumbuiza umma kwa vibao vyao vya kiroho.
Msanii Ruth Mukabi (Katika Poz La picha....... )
kulingana na umma uliokuwa umefika katika tamasha hilo haukuonyesha nia ya kuwapenda wengine waliokuja kubariki watu katika kanisa hilo ispokuwa Ruth na Eliano Mtaliano.
Hata hivyo, hiyo ni ishara mwafak kuwa mziki wa injili wa kanda hii ya pwani unakuwa kwa kasi.
Wengine walifika kuhudumu ni Liz, Kinkiz, Eunice na wengine wengi.
Mc Mike Bwax wa Pwani Fm alikuwa juu ya jukwaa vile vile, Zaidi ya watu 1500 walihudhuria tamasha hilo....
Mc wa tamasha hilo Mtangazaji Mike Bwax (Katika Poz la Picha..........)

1 comment: