flash3

Monday 9 July 2012

Lai Aachilia Kibao Kipya..................

 Lai akiwa katika Show
Lai ni msanii, mzaliwa wa Kilifi kule Mkoani Pwani, ambaye ametokezea na kuwahi sifa tele kufuatia utunzi wa nyimbo zake pamoja na namna anavyopiga show zake katika matamasha.
Lai aliyechapa track kama vile, Risiti, Jirani, Uskonde na nyinginezo.
Msanii Huyu ambaye pia ni producer wa muziki mwenye sifa hapa pwani, ameachilia track mpya 'Ningechonga' inayozungumzia maswala tata ya mapenzi.
akihojiwa mtandao huu Lai alidai kuwa mwaka ni huu wa kufunika na kufunua riziki kupitia kipaji cha muziki.

No comments:

Post a Comment