Akihojiwa na mwandishi wa mtandao huu mike Bwax, P-DAY amesema kuwa mkoani humu hana mpinzani kwani yeye hushindana na talanta yake mwenyewe.
aidha ameutaja mziki wa eneo hili kama mziki unaofaa ,kutuzwa kama mziki bora nchini kufutia hali yake ya kukuwa kwa haraka sana.
Hata hivyo mwiba huyu wa muziki huu amewashukuru wote wanao fagilia muziki wake wakiwemo watangzaji wa Redio.
wakati uo huo P-day hakuachwa nyuma kuwakemea wanao dhalilisha mziki huu wa wana pwani.
ameahidi kuvurumisha na kuwapa mashabiki wake haki yao ya maskio.
( msanii p-day..........akipoz kwa picha)
P-DAY (mwenye tai nyeusi) akiwa na mmiliki wa studio ya e-30(mwenye mavazi mekundu), Alkenia Luv(mwenye kofia)pamoja na Producer wa E-30....
No comments:
Post a Comment