flash3

Tuesday 10 July 2012

Wafaido Hela za Muziki Pwani...........

Ali-B
Nyota
Cannibal(Shatta)..
Susumila..
Chikuzee..
Rojo-Mo
Sudi Boy..
 Johnny Skani..
Kidis..
Escoba Babake..
Kumi hawa, wamekuwa wakiendelea kubugia hela za matamasha ya muziki, sio hapa pwani tu bali hata nje ya pwani hii, Kenya na East Afrika kwa ujumla.
Wengi ambao wameshawahi kuzuru katika matasha yalioandaliwa hawa wakiwa ukumbini kutumbuiza, hakuna anayelalamika, kwani kwa jinsi wanavyo chapa show, ari yao ni kuona kuwa kila aliyepenya anaridhia maonyesho yao.
Hata hivyo orodha hiyo iko kulingana na umaarufu wa kila mmoja.....endelea kuutazama mtandao huu kwa mengi zaidi yanayo husu orodha hii ya miba ya muziki pwani na Kenya kwa ujumla....

1 comment: