flash3

Saturday 7 July 2012

Emmy Kosgei Apokea Tuzo Marekani...............

Usiku wa kuamkia leo jijini London nchini Uingereza kumefanyika utolewaji wa tuzo za Africa Gospel Music Awards AGMA 2012, ambapo katika tuzo hizo Kenya ilikuwa inawakilishwa na Emmy Kosgei na hakuidhalilisha Kenya bali akaondoka na tuzo.
Mwanamama Christina Shusho aliyekuwa anaiwakilisha Tanzania, kura alizopigiwa hazingemuwezesha kuchota tuzo licha ya umaarufu wake East Afrika.
Wengine waliorudi nyumbani na tabasamu ni Solly Mahlangu wa Afrika ya kusini, Rebecca, Sonnie Badu, Jabu Hlongwane, Joyous Celebration, Pastor Patrick Duncan na waimbaji wengineo waliweza kuibuka na tuzo usiku wa kuamkia leo. Kwa habari zaidi pamoja na picha za tukio lilivyokuwa endelea kutembelea mtandao huu...........

No comments:

Post a Comment