flash3

Saturday 7 July 2012

Prophet Hezron Manishimwe......Yuko Mjini Leo Ndani Kenya Cinemax........

Akiwa Mmoja wawanadamu waliopitia makubwa maishani......kwa ufupi, alipoteza wazazi wake wote wawili katika mauwaji ya halaiki yaliyotendeka nchini Rwanda yeye mwenyewe Hezron akishuhudia kwa macho yake mawili.
Yuko mjini Mombasa leo katika ukumbi wa Kenya Cinemax akihubiri na kuombea wagonjwa..........
Haupaswi kukosa!!!!!!!!!!!!!!!!!....................

No comments:

Post a Comment