Mama
 wa nyumbani Mrs. Ruka Amoha ambae anadai kuwa mumewe amemnyima unyumba 
kwa miezi kadhaa sasa, ameamua kutoa hasira zake kwa jirani yake Mrs. 
Yemi Adelani.
“siwezi
 kukubali Yemi amfaidi mume wangu na wake pia kwa wakati mmoja nakufanya
 mi nishindwe kumfaidi mume wangu"amesema ruka mama mwenye watoto 
watatu.
Tukio
 hili limetokea huko Lagos, Nigeria na Dr Oriele Agege amekubali kutokea kwa 
tukio hilo na kusema kuwa pua ya Yemi imeumizwa sana na anahitaji 
kufanyiwa  plastic surgery to survive.

No comments:
Post a Comment