flash3

Monday 9 July 2012

Shuhudia yaliotendeka, Huko London katika Tuzo za Africa Gopel Music Awards


Mwanadada Emmy Kosgei kutoka humu nchini Kenya ambaye usiku wa kuamkia jana alilibeba 
taifa hili na kulishamirisha ulimwenguni baada ya kujishindia tuzo la wimbo bora wa mwaka (wimbo OLOLO).
Hata Hivyo Emmy ndiye mwanamuziki wa kipekee aliyeweza kusimamisha watu waliokuwepo ukumbini hapo kwa jinsi alivyoweza kuimba kwa ustadi nyimbo zake mbili ukiwemo Ololo ambazo kila wimbo aliimba kwanza kwa CD kisha wanamuziki waliokuwepo kuendeleza live mara ulipoisha kwakuwa hawakuweza kufanya mazoezi kabla,.
Nyota hii ya Kenya iliweza kuwa nyota usiku huo kwani baada ya tamasha, nusu ya watu walioujaza ukumbi huo walimzunguka kutaka kupiga picha naye pamoja na kuchukua mawasiliano yake.

Kundi la Makoma ambalo halikuweza kupata tuzo yoyote usiku huo halikuweza kufika ukumbini hapo kwa wakati kutokana na taarifa zilizopatikana baadaye kwamba walipata ajali wakiwa njiani kuja ukumbini hapo ndio maana hawakufika ingawa walituma meneja wao pamoja na mmoja wa waimbaji wa kundi hilo ambaye alipozungumza na GK akasema Makoma wapo vizuri, Mungu 
akipenda wanapanga kuja Tanzania mwakani.
Tazama Orodha Kamili......
 AGMA 2012 WINNERS
EVENT OF THE YEAR SPONSORED BY EAGLE ENTERTAINMENT
Joyous Celebration 16 Live Recording (South Africa)

RADIO PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY LONDON CHRISTIAN RADIO

Indumiso- Ukozi FM

RADIO PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY VOICE OF AFRICA RADIO

Anthony Ndiema- Kenya Fiifi Folson- Ghana

TV CHANNEL/ PROGRAM OF THE YEAR SPONSORED BY FAITH TV

One Gospel (South Africa) 


TV PRESENTER OF THE YEAR SPONSORED BY OHTV Shoggy 

Tosh 


DISCOVERY OF THE YEAR SPONSORED BY G FORCE RADIO 

PK Boadi-UK Prosper Mateva -Zimbabwe 



AFRO JAZZ/ INSTRUMENTAL MUSICIAN OF THE YEAR SPONSORED BY AFROLINK Mike Aremu (Nigeria) 


AFROGOSPEL RAP ARTISTE/GROUP OF THE YEAR SPONSORED BY KEEP THE FAITH MAGAZINE 

Rooftop MCs (Nigeria) Andrew Bello (UK) 


ARTISTE OF THE YEAR EAST AFRICA 

Dawit Getachew- Ethiopia 


ARTISTE OF THE YEAR WEST AFRICA SPONSORED BY MONEYGRAM 

Frank Edwards-Nigeria 


ARTISTE OF THE YEAR CENTRAL AFRICA SPONSORED BC3 MEDIA 

Mike Kalambayi (Congo) 


ARTISTE OF THE YEAR SOUTHERN AFRICA SPONSORED BY CONSTANCE BANQUET 

Patrick Duncan 


ARTISTE OF THE YEAR USA/CANADA SPONSORED BY MISS TEE 

Yaw Osei-Owusu 


ARTISTE OF THE YEAR AUSTRALIA/ASIA SPONSORED EAGLE ENTERTAINMENT 

Disciple 


ARTISTE OF THE YEAR EUROPE SPONSORED MEDIA MIND 

Rebecca, 

UK MUSIC PRODUCER OF THE YEAR SPONSORED BY PAULINE LONG BEFFTA 

Wole Oni - (Nigeria) Billy Frank (Kenya) 


GROUP/CHOIR OF THE YEAR SPONSORED BY Simply Chrysolite-South Africa 


VIDEO OF THE YEAR 

God Dey Bless Me- Cwesi Oteng – Ghana 


SONG OF THE YEAR SPONSORED BY LYCA MOBILE 

Ololo – Emmy Kosgei (Kenya) 


ALBUM OF THE YEAR SPONSORED PREMIER GOSPEL 

Colours of Africa- Sonnie Badu 


(UK) FEMALE ARTISTE OF THE YEAR 

Lara George- Nigeria 


MALE ARTISTE OF THE YEAR 

Solly Mahlangu-South Africa 


AGMA SPECIAL AWARDS BEST CONTRIBUTION TO THE PROMOTION OF AFRICAN GOSPEL MUSIC 

Voice of Africa Radio 

Bola Mogaji Wole Oni 

Premier Gospel BC3 Media 

Jabu Hlongwane 

John Mensah Sarpong 


AGMA TRAILBLAZER AWARD 

Sammie Okposo 

Sonnie Badu Muyiwa Olarewaju 


LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD 

Rev. Benjamin Dube

No comments:

Post a Comment