| Nikiteta jambo na Keysher kabla ya kushoot... |
| Taym ya Makeup sasa.... |
| Hii ndio ilikua scene ya mwanzo kushoot... |
| Basi wadaku msije mkazua yenu tena... maana hamkawii....Video tu HIII!!! |
| Baadhi ya crew ya Next Level ikitimiza wajibu wake.... Basi mwanadada huyu anavyonishangaa navyopaka wanja...LOL! |
| Kwa mara nyingine tena mmmh! mwenzangu.... |
| Hii ni moja ya scene...tulizozishoot tukiwa ndani ya Gari |
| Hizi ndo scene nnazozipenda mie sasa za maakuli |
| Baadhi ya models walioshiriki |
| Keisha akifanya Makeup... |
No comments:
Post a Comment