heheheeeee eti hili ni boooonge la changa la macho....inasemekana raia
wa Africa Masahariki walio ughaibuni pande za Ujerumani wachukizwa na
kitendo cha promota kutangaza ujio wa Diamond katika tamasha nchini humo
na mwisho wa siku walitumia hel kibao bila ya kumuona
Diamond...msikilize Gossip Cop Sudy Brown
No comments:
Post a Comment