Msanii wa Bongo Fleva Sunday Mjeda a.k.a Linex Linenga baada ya kutamba na ngoma zake kali kama Aifora,Boda Boda, na nyinginezo kali mpaka kupelekea mashabiki kumkubali katika tasnia hii ya muziki.
Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba baada ya kuchonga na BK Cop aliweza kufunguka na kusema kwamba pia baadaye anatarajia kuingia katika uandishi wa Bongo Movie kwani alieleza kwamba japokuwa anaimba pia anakipaji cha kuandika story.Kwa hiyo mashabiki wa msanii huyu kaeni tayari kumuona Linex akiandika movie katika indu
No comments:
Post a Comment