Dj Khaled anadaiwa dola
55,000 za kodi za siku zilizopita katika apartment yake iliyopo huko
Florida. Stories kupitia TMZ zinasema Kingpin huyo kutoka Southern
alipangisha apartment kutoka Misci LLC Septemba 2011 na aliahidi kulipa
dola 66,000 kama kodi. Alifanya malipo ya mwanzo lakini hakumaliza
malipo ya pili baada ya makubaliano Dj Khaled alikubali kulipa dola
11,000 kama mkwanja wa mwanzo na dola 55,000 baada ya mwezi lakini
hakulipa.
Wiki mbili baada ya makubaliano
Misci alimpa Dj Khaled wiki mbili ahame lakini alikataa ndipo Misci
alipofungua kesi ya kurudishiwa mkwanja aliotumia kwa ajili ya kesi na
Dj Khaled yuko tayari kujibu kesi hiyo..Endelea kufuatilia blog kwa more
stories ya kesi hii.
No comments:
Post a Comment