siku
chache baada ya Diamond kusambaza picha zake akiwa hospitali na kuzua
gumzo kwa mashabiki wake, sasa ni zam ya Wema ambae yeye pia anaonekana
akiwa hospiitali akiwa katika kipimo kinachofanana na alichopimiwa
diamond, Kunani?.
nimejaribu
kuchunguza picha hizi mbili nikagundua kuwa hospitali ni ile ile
aliyoenda Diamond, na dokta ni huyuhuyu pichani..nikamcheki Diamond
kujua inakuaje au walienda wote?
"
Nah! ckua nae hata me nimeshangaa kuona nae yuko kitanda kile kile na
hospitali ile ile, labda nae alienda pia...amesema Diamond...akaendelea
na kusema kuwa hajawasiliana nae kumuuliza niaje nivipi ila atamcheki
leo hii
katika story inayohusiana na hii, kupitia mtandao wake diamond (thisisdiamond.com) ametupia picha akiwa anaogelea.
katika picha hii Jamaa kaandika kuwa hii ndio picha anayoipenda baby wake na akiiona anajiskia ku co...e
" Das my baby`s Favourite Picture.....eti akiona anajisikia ku co...e! LOL"
No comments:
Post a Comment