Si Kitambo Tangu Whyne P cMb Kupenya katika ulingo wa Muziki Mombasani, lakini maamuzi yake yamekuwa yakiendelea kushangaza mioyo ya wengi wanaopenda muziki Pwani.
Mdokezi wetu amedokezea Mfb kuwa mwamba huu wa muziki uko ridho kupandisha muziki wa pwani na fauka ya hayo Whine anawaomba wote wanaoshughulika na Promotion ya muziki wa kanda hii ya pwani kuwa na mioyo ya kuukubali mziki huu 'Mombasani' na kisha kuukweza...............
cMb ambaye amewahi kushirikiana na wanamuziki kama Vile J-kah kwenye traki Paka che na sir Ngozi kwenye debe Bounce, Traki ambazo zina uwezo wa kuzuga hewa.................Kilalaheri Whine.....
Shavu bro! good luck
ReplyDeleteKongole Bro Kaza Buti.......
ReplyDelete