flash3

Saturday, 4 August 2012

WALICHOSEAMA WADADA WA BONGO MOVIE

baada ya PHd hemed kusema ametembea wa ''mademu'' 32 wengi wakiwa wa bongo movie, haya ni ndiyo waliyoyasema

Aunt ezekiel''akili zake siyo nzuri, kujisifia haimaanishi kuwa ni rijali kuliko wengine,ni u

puuzi na hatari ukizingatia kuna gonjwa la ukimwi''
THEA'' ni kukosa busara, anaonekana anatafuta umaarufu 2, bora angetaja hao aliotemebea nao''
JACK wa CHUZI'' hemedi siyo taipu yangu hivyo hata kwenye hiyo list yake cpo, ila ningemuona mjanja kama angewataja''
ROSE NDAUKA'' kila mtu ana akili yake, siwezi kusema amekosea coz akili yake ndo imemtuma na kila mtu ana maisha yake, ninachoshukuru mm simo''
NISHA'' kusema hivyo atakuwa ameamua mwenyewe ila metudhalilisha sana kwani bora kuwataja kuliko kuishia kutaja idadi, ila mm simo''

No comments:

Post a Comment