Mkurugenzi wa Kampuni ya I-View Studios, Raqey Mohammed ( kushoto)  na 
msanii Diamond Platnumz wakisaini mkataba  wa kufanya kazi pamoja. Wanaoshuhudia ni 
Mwanasheria wa Diamond, Paul Mgaya, Mwanasheria wa I-View Dr. Peter 
Aringo  na Mkurugenzi wa One Touch Solutions, Petter Mwendapole
MSANII wa kimataifa wa Tanzania, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameingia mkataba na kampuni ya I-View Studios ya ili wasimamie kazi zote kwa muda wa miaka miwili. Mkurugenzi wa kampuni ya One Touch Solution ya mjini Dar es Salaam, Petter Mwendapole amesema I-View itasimamia mikataba yote ya kazi zote za msanii huyo na yeyote atakayetaka kufanya kazi na Diamond kwa sasa itabidi awasiliane I-View.
 
 
No comments:
Post a Comment