Tukio limetokea wakati mwanamke
huyu akiwa kanisani kwenye maombi huko Sapele-Benin Expressway Edo
state ambapo alijifungua wakati wakiwa kwenye maombi.
Mtandao wa Naijagists umeripoti
kwamba mwanamke huyu kabla ya kujifungua alipiga sana kelele kama yuko
kwenye chumba cha kujifungulia wakati maombi yakiendelea ambapo damu
zilianza kumtoka sehemu zake za siri na baadae kujifungua huyu mtoto wa
farasi ambae alifariki kabla ya waandishi wa habari kufika kwenye hilo
kanisa.
Mtumishi wa Mungu aliepata
nafasi ya kuzungumza baada ya hii ishu kutokea amesema wamekua
wakishuhudia miujiza mingi ikifanyika kanisani kwao lakini hili la
mwanamke kujifungua mtoto wa farasi ndio limetokea kwa mara ya kwanza.
No comments:
Post a Comment