Kenyan Post wametoa hizi
picha za nyumba iliyojengwa na serikali kwa ajili ya kuishi Makamu wa
Rais wa Kenya ambae kwa sasa ni Kalonzo Musyoka, ni nyumba iliyogharimu
milioni 400 za Kenya mpaka kukamilika na ipo kwenye eneo la heka kumi
huko Karen.
No comments:
Post a Comment