flash3
Wednesday, 19 September 2012
Raundi hii Wema Nawe Umeamua Du!!
Baada ya Ant Ezekiel kuto kuonyesha heshima katika jukwaa la serengeti fiesta sasa habari nyingine ambayo imetokea mkoani Morogoro siku ya serengeti fiesta katika viwanja vya jamhuri.Msanii anayejulikama kwa jina la Wema sepetu alionekana amefaa nguo fupi ambayo sio ya heshima na hiki si kitu kizuri kwa mashabiki au hata mtanzania.Kwani hapo ndipo unajishusha thamani pia hata mashabiki wako hawata nunua kazi zako.Jamani tujiheshimu ili mwisho wa siku jina lako lipate kufika mbali lakni kama ni hivi sijui kama tutafikia.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment