flash3

Friday 27 September 2013

KUMBE AUNT EZEKIEL NA KANUMBA WAMETOKA MBALI......

Kanumba akipewa busu zamani, katika moja ya picha alizowahi igiza na Aunty Ezekiel.

Kanumba na Aunty Ezekiel, katika pozi kweye moja ya filamu walizowahi cheza kala ya kifo cha Kanumba

Kanumba

Aunty Ezekiel

MANAIKI SANGA NA IRINE UWOYA WALETA GUMZO KUBWA JIONEEE

Wasanii Manaiki Sanga na Irene Uwoya wakiwa kwenye picha za mahaba huku Uwoya akigida bieeeee hadi kuche.

Na Mwandishi Wetu

Mtandao hatari wa habari wa Xdeejayz kwa mara nyingine umekuwa wa kwanza kunasa picha za wasanii mastaa toka kiwanda cha bongo movie Manaiki Sanga na Irine Uwoya zikiwaonesha wakiwa kwenye mahaba mazito huku Irine akiwa ho kwa kiraji “pombe”.

Habari makini toka chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu na Irine Uwoya kilisema Irine na Manaiki kwa sasa wako kwenye mahusiano ya karibu kiasi cha kuzua minong’ono kwa kudhani huenda wanamahusiano ya upande wa pili.

Hata hivyo chanzo hicho kiliendelea kusema kwa picha hizo zinadaiwa kupigwa katika viunga vya Club Maisha ambako walienda kula bata usiku kucha na hapo inaonekana ni asubuhi.

Aidha xdeejayz ilifanya juhudi za kuwatafuta wasanii hao ili kuweka bayana kuhusu picha zao hizo za mahaba na Uwoya ndiye aliyeanza kuvutiwa waya lakini hata hivyo simu yake iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa na alivyopigiwa Manaiki Sanga na baada ya mwandishi wetu kujitambulisha na chombo cha habari anachotoka hali ilikuwa tofauti kidogo kwani msanii huyo alianza kumporomoshea matusi makubwa mwandishi wetu huku akiituhumu blog hii kuongoza kumchafua kwa kuanika mambo yake ya siri hadharani.

Video ya Bila Kukunja Goti kuanza kuonyeshwa katika channel kubwa 4 za muziki Africa

The most awaited video kutoka kwa wakongwe wawili nchini Tanzania Fa na Ay, "Bila Kukunja Goti" inatarajiwa kutoka siku
yoyote kuanzia kesho.
Video hiyo ilifanyika nchini South Africa chini ya kampuni ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya Ay na Fa, tayari wameshakamilisha process ya kuzisambaza katika vituo vikubwa vya television kama Trace, Mtv Base, Channel O pamoja na Sound City na video hiyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuoneka kufikia viwangi vyao.

MwanaFA
Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...‪#‎AfrikaNzima‬...‪#‎GoingPlaces‬...‪#‎KeepingTheGoodMusicAlive‬

Wednesday 25 September 2013

Baada ya kuwatukana wasanii kibao kupitia twitter Gucci Mane arudi twitter na kuomba msamana huku akikiri kutumia madawa ya kulevya

Maneno machafu yaliyokuwa yakiandikwa na Rapper Gucci Mane kupitia mtandao wa Twitter dhidi ya wasanii mbali mbali wakubwa yaliwaacha watu wakijiuliza maswali dhidi ya afya ya akili ya Rapper huyo
Baada ya muda Gucci alifuta tweet yake  lakini sasa hivi ameifungua upya na kuanza kutuma tweets zenye kuomba msamaha kwa ndugu, jamaa na marafiki  pamoja na mashabiki wake huku Birdman, Drake na Ricky Ross akiwataja kwa majina.

Gucci pia amekiri kuwa addicted na madawa  ya kulevya aina ya "lean" na kutangaza kuwa atajiunga na "Rehab" mara tu baada ya kutoka jela.

TAMASHA LA KWANZA LA FILAMU DAR-ES-SALAAM

TAMASHA LA KWANZA LA FILAMU DAR-ES-SALAAM Hili tamasha la kwanza la filamu (Dar film festival) ambalo litafanyika tarehe 24-26 September 2013 kwenye viwanja vya posta kijitonyama Dar -es-salaam kuanzia saa 11 jioni.

Fika na uwashuhudie wasanii mbalimbali ambao wanafanya bongo movie na kuweza kujua mambo mengi kuhusiana na swala zima la bongo movie. Kingilio ni bure kwa watu wote.

Theo set for minor abdominal procedure

13/14: Marseille 1-2 Arsenal - Theo Walcott
Theo Walcott

Theo Walcott will have a minor procedure on his abdomen in Germany on Wednesday which will keep him out of action until after the next international break.
The winger missed Sunday’s win over Stoke City after developing slight damage to his posterior abdominal wall. As a result, it has been decided that Theo should undergo the minor procedure, which will enable him to start his recovery immediately afterwards.
Because it’s so minor, we can begin his rehab immediately
Arsène Wenger
Speaking to Arsenal.com, Arsène Wenger said: “Theo will be out for a few weeks. He has developed some damage to his posterior abdominal wall. It's not a hernia, but it's a little structural problem in his abdomen.
"He will have the procedure in Germany on Wednesday and, because it’s so minor, we can begin his rehab immediately. We are pleased it’s being dealt with quickly and he shouldn’t miss too many Arsenal matches. But he will miss the forthcoming international matches with England.”
Everyone at Arsenal looks forward to seeing Theo back on the pitch soon after the international break.

Tuesday 24 September 2013

RONALDINHO ALIPA KIASI CHA $58,000 KWA AJILI YA KUPATA MUONEKANO MZURI WA FIZI NA MENO

Mwanasoka bora FIFA 2004-2005, Ronaldinho amelipa kiasi cha dolla za kimarekani $58,000 ili kutengeneza fizi na meno na kuyaweka katika mpangilio mzuri.
Operation hiyo ya kutengeneza fizi na meno ya Ronaldihno ilifanyika katika clinic iliyoko Brazil ijulikanayo kama orthodontic.
Angalia picha Ronaldihno akiwa kwenye operation…

Friday 20 September 2013

Ratba Ya Dimba La Primia Uingereza Wikendi Hii

MSHINDI WA BBA 2013 “DELISH MATTHEWS” AZAWADIWA GARI KWENYE BRITHDAY YAKE

MSHINDI WA BBA 2013 “DELISH MATTHEWS” AZAWADIWA GARI KWENYE BRITHDAY YAKE Mshindi wa Big Brother Africa 2013 “Delish Matthews” ambaye alinyakua dola za kimarekani laki tatu alisherekea Birthday yake kwa kutimiza miaka 23 siku ya jana.
Alipokea zawadi mbalimbali, moja ya zawadi ni gari aina ya Volkswagen Golf GTI. Check zawadi nyingine alizopokea

Hip Hop Kenya Yazidi Kupaa_

Kichwa Kigmu Cha Hip Hop_Kaa Lamoto Kiumbe, Amejitosa Katika Ulingo Huu Kwa Kishindo Na Kukamata Wengi Katika Sanaa Hii_Sio Siri Ameleta Mwamko iTofauti Na Hisia Za Kivyake Na Kuwafanya Wengi Waliokosa Imani Na Sanaa Ya Muziki Kutoka Kenya Ya Pwani Sasa Kubadilisha Hisia Zao Kuukodolea Macho Mziki Kutoka Pwani.
Hata Hivyo Amejiunga Na Wakali Wa Hip Hop Wa Kitambo Kutoka Pande Hii Ya Pwani Kama Vile Vichwa Vigumu, Cannibal aka Shata, Tupesh, Mc Kimbo, Hip Hop Ammy, Crazy K Etc.