flash3

Friday 21 December 2012

TETESI - WIKI MOJA BAADA YA KUBADILISHIWA MASHTAKA - LULU AACHIWA KWA DHAMANA KWENYE KESI YA MAUAJI YA KANUMBA.......

Chama cha umoja wa waandishi wa habari kimeripoti kwamba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam asubuhi ya leo imempa dhamana msanii Elizabeth Michael baada ya kupitia vifungu kadhaa na kuona kesi yake ya kuua bila kukusudia inadhaminika.

Kwa maana hiyo, Lulu sasa atasherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya wa 2013 akiwa na familia yake, ndugu, jamaa na marafiki.

Msanii huyo ambaye anatuhumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba - The Great, alibadilishiwa kosa la kuua na kuwa kuua bila kukusidia, ambalo, kwa mujibu wa sheria linadhamnika na kwamba ikiwa mtuhumiwa atapatikana na hatia, adhabu ya juu kabisa ni kifungo cha maisha, miaka kadhaa au kuachiwa huru.


Mtandao haujaweza kuthibitisha taarifa hizi kama ni za kweli...........

HIVI NDIVYO TUZO YA BALLON D'OR INAVYOTENGENEZWA - RONALDO, MESSI, AU INIESTA NANI KUIBUKA KIDEDEA WIKI 2 ZIJAZO???? ..........

RONALDO, INIESTA OR MESSSI

Golden balls: The world's oldest jewellers have a team of six working on the Ballon d'Or trophy
Timu ya masonara sita ndio wanashughulikia utengenezwaji wa tuzo ya Ballon d'Or

Golden balls: The world's oldest jewellers have a team of six working on the Ballon d'Or trophy
Utengenezaji wa Ballon d'Or ukiendelea

Golden balls: The world's oldest jewellers have a team of six working on the Ballon d'Or trophy
Ufaransa ndio imekuwa nchi inayotengeneza tuzo tangu mwaka 1956.


Piece by piece: The same family-run store in Paris have built the trophy every year since 1956
Mtengenezaji akiweka kipande kimojawapo kwenye tuzo hiyo

Craftsman: All the finishing touches are applied by hand... but who will get their hands on the trophy?
Craftsman: All the finishing touches are applied by hand... but who will get their hands on the trophy?

ROONEY KAMA BECKHAM: MKEWE ATANGAZA JINSIA YA MTOTO WAO ANAYETARAJIWA KUZALIWA MAY 2013

Tayari wameshafanikiwa kuwa na mtoto wa kiume katika familia yao, lakini kama vile haitoshi Collen na Wayne Rooney wanategemea kumkaribisha dume lingine katika familia yao hvi karibuni.

Coolen, 27, ambaye ni mjamzito wa mtoto wake wa pili, alitangaza jinsia ya mtoto wake aliye tumboni kwenye mtandao wa kijamii wa Twiter na akasema mshambuliaji wa United, Rooney amezipokea taarifa hizo kwa furaha kubwa.

Aliandika hivi kwenye akaunti yake ya Twiiter
 
Coleen na Wayne tayari ni wazazi wa Kai, na sasa wanategemea kuongeza kidume kingine ndani ya nyumba mnamo mwezi wa tano mwakani.

KESI YA LULU YAHAMIA MAHAKAMA KUU..................


Lulu (katikati) akisindikizwa kuelekea mahakamani.
Sehemu ya watu waliofika kusikiliza kesi hiyo.
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo amerudishwa rumande baada ya kusomewa kesi yake mpya ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba. Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam, Agustina Mmbando alifunga shauri hilo katika mahakama hiyo na kusema kesi hiyo sasa inahamia mahakama Kuu kwa kuwa mahakama yake haina mamlaka ya kuisikiliza.

P-Square Meet and Greet Party at Cayenne.....

Paul and Peter Okoye at Serena Hotel during their press conference
The P-Square twins, Peter and Paul Okoye are already in town ahead of the 'Chop Ma Money' Concert that will be held at the Lugogo Cricket Oval on Friday (Dec 21).  The Alingo stars held a press conference at Serena Hotel on Thursday afternoon.
The Nigerian RnB stars will be at Cayenne Lounge in Bukoto this evening in a meet and greet party chilling out with beautiful onyinye's and signing autographs. President Kagame was among the 75,000 fans that attended their Rwanda show.
The duo who were in the company of Jude Okoye their elder brother who also doubles as their producer promised to give Ugandan fans the very best from P-Square. The duo did not use a private jet to Uganda like they did in Rwanda.
Tickets are going for 25k ordinary and 75k VIP. Details on booking tables and VVIP tickets can be got from the meet and greet party at Cayenne.

YALIYOJILI LEO MASHABIKI WENGI WA UNITED NA ARSENAL WAMEKUWA NA MAHOJIANO JUU YA RATIBA HII ILIYOTOKA

Q CHILLAH AWEKA WAZI KUACHANA NA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA

Msanii mahiri wa muziki wa Bongo Fleva maarufu kama Q chillah baada ya mashabiki wengi wa muziki kumzungumzia kwamba anahusika katika utumiaji wa madawa ya kulevya, sasa leo ameamua kukiri na kusema alikuwa anatumia madawa hayo lakini kwasasa ameachana nayo na ana takriban miezi saba toka aache. @mfb-ent.blogspot.com tunakupa big up broo kwa kukiri na kuachana na hayo madawa ya kulevya, na ujihusishe na mambo muhimu yakulijenga taifa leko pamoja na kuwaridhisha mashabiki wako ulimwenguni.

Tuesday 18 December 2012

KESI YA LULU BADO INAMPA WAKATI MGUMU SANA MAHAKAMA

Msanii wa filamu za kibongo maarufu kama Bongo Movie, Elizabeth Michael alias Lulu baada ya kipindi cha nyuma kurudishwa rumande kwa kesi yake inayomkabili kwa kutuhumiwa kumuua msanii mwenzake,The Late  Steven Kanumba,sasa taarifa ambayo tumeipata ni kwamba ameepuka adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua msanii mwenzake,The Late Steven Kanumba baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), kumbadilishia mashtaka, ambapo sasa anatuhumiwa kwa kuua bila kukusudia.
Kutokana na mabadiliko hayo,Lulu ameepuka adhabu hiyo kwani hata kama atapatikana na hatia, adhabu yake ni kifungo cha maisha au kuachiwa huru.
Hii inatokana na kifungu cha 196 cha kanuni za adhabu ya kosa la kuua bila kukusudia, ambapo anayepatikana na hatia anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha, miaka kadhaa au kuachiwa huru.
Hata hivyo, baadhi ya wanasheria waliweza kuongea na waandishi na wakasema kwamba uzoefu wa adhabu nyingi za kuua pasipo kukusudia zilizowahi kutolewa nchini, ni kati ya miaka 15 na wengine waliachiwa huru.
Lulu alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Aprili 11, mwaka huu akikabiliwa na tuhuma za kumuua Kanumba Aprili 7, 2012.
Alikuwa akidaiwa kutenda kosa hilo kinyume na kifungu cha 196 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), shtaka ambalo mshtakiwa anayepatikana na hatia adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa.
Hata hivyo, jana upande wa mashtaka ulieleza mahakamani kuwa kwa sasa imebadilisha mashtaka kutoka kuua kwa kukusudia na kuwa kuua bila kukusudia, kinyume cha kifungu cha 195 cha CP.
Mshtakiwa huyo alitarajiwa kusomewa mashtaka hayo mapya jana pamoja na maelezo yote ya kesi, ambapo angesomewa ushahidi wa mashahidi wote pamoja na vielelezo muhimu katika kesi hiyo.
Hata hivyo, hatua hiyo ilikwama kutokana na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka anayeiendesha kesi hiyo kutokuwapo mahakamani na badala yake aliwakilishwa na Wakili wa Serikali, Ofmedy Mtenga.
“Upelelezi wa shauri lako umeshakamilika na tungeweza kukusomea comital (maelezo ya kesi) leo, lakini kwa kuwa waendesha mashtaka hawapo basi tunaliahirisha mpaka tarehe nyingine.”, alisema Hakimu Mkazi Agustina Mmbando, anayesikiliza kesi hiyo katika hatua hiyo ya awali.
Taarifa hizo za kukamilika kwa ushahidi wa kesi hiyo zilipokewa kwa furaha na shangwe na msanii huyo, kiasi kwamba alishindwa kujizuia kuonyesha furaha yake.
Wakili wake Peter Kibatala aliiomba mahakama itoe ahirisho fupi hadi Ijumaa kwa ajili ya mshtakiwa kusomewa mashtaka haya mapya pamoja na maelezo ya awali.
Hakimu Mmbando alikubaliana na ombi hilo la Wakili Kibatala na akaahirisha kesi hiyo hadi Ijumaa.Hayo ndiyo yaliyojili huku lulu akiwa na majonzi.

Monday 17 December 2012

Arsène Wenger insists he is pleased with his team’s results away from home in the Premier League this season.
Arsenal take on Reading at the Madejski Stadium on Monday night in the knowledge that only Manchester City have lost fewer games on the road this term.
Wenger is content with how his side have performed away from Emirates Stadium but admits that his team’s home form must improve if they are to climb the table.
“I believe I have a strong team,” he said. “If you look at our season at the moment, we have not produced our performances at home, our results away are in the same bracket as the two top teams.
“Manchester United are top of the league. They have lost three games, we have lost four. We had more draws, especially at home, that is where we have lost the points.”

SAJUKI KUFANYIWA MATIBABU NCHINI INDIA.....

Msanii wa Bongo movie maarufu kama Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika ghafla kipindi wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa wako katika mipango ya kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya matibabu.Sisi kama @mfb-ent.blogspot.com tunamtakia matibabu mema huko nchini Indian.

THE 2012 KENYA COAST MUSIC AWARD RECIPIENTS ARE:



1. Gospel Male Artist Of The Year

D. Willy Paul

2. Gospel Female Artist Of The Year

D. Mercy Lai

3. Gospel Group Of The Year

E. Biblelizerz

4. Gospel Song Of The Year

D. Sitolia – Willy Paul & Gloria Muliro

5. Reggae or Ragga Artist / Group Of The Year

*D. Singerz Babz

6. Afro Fusion Artist Of The Year

E. Sudi Boy

7. Rap and Hip Hop Artist / Group Of The Year

C. Cannibal

8. Chipukizi Artist Of The Year

C. Cypreezy

9. Blogspot Of The Year

A. http://mashav-mashav.blogspot.com/

10. Club DJ Of The Year

C. DJ Flaxx – Bella Vista Pub & Restaurant

11. Dance Group (Qatika Award)

A. Tsunami

12. Male Artist Of The Year

C. Kidis

13. Female Artist Of The Year

D. Petra

14 Diaspora Artist Of The Year

A. Tierra Gee

15. Group Of The Year

D. WRM Krew (Johnny Skani, Totti, Real Flick, Kurutu, Shaka, K-Lama and Kavalier)

16. Video Of The Year

D. Si Vibaya - Chikuzee

17. Collabo Of The Year

A. My City My Town – Cannibal & Prezzo

18. Song Of The Year

C. Si Vibaya - Chikuzee

19. Producer Of The Year

C. Amz – SQ Records

20. Recording Studio Of The Year

C. SQ Records

Radio Category

21. Male Radio Presenter

A. Gates Mgenge – Pwani FM

22. Female Radio Presenter

B. Sister Shaniz – Radio Kaya

23. Male Radio Presenter (Nairobi)

D. Mike Mondo – Hot 96

24. Female Radio Presenter (Nairobi)

A. Esther Ingolo – Radio Maisha

25. News Radio Anchor Of The Year

E. Christine Manyongi – Radio Kaya

26. Radio Show Of The Year

A. Mashav Mashav – Pwani FM

27. Radio Show Of The Year (Nairobi)

A. Mambo Mseto – Citizen

28. Radio DJ Of The Year

E. DJ Ken – Baraka FM

29. Radio Station Of The Year

A. Pwani FM

Television Category

30. Male TV Anchor Of The Year

B. Ali Manzu – KTN

31. Female TV Anchor Of The Year

D. Mwanahamisi Hamadi – Citizen TV

32. TV Show Of The Year

A. Mseto East Africa (Citizen TV) Hosted By Willy M Tuva & DJ Flash

33. Lifetime Achievement Award – Them Mushrooms Band
THE 2012 KENYA COAST MUSIC AWARD RECIPIENTS ARE:

1. Gospel Male Artist Of The Year

D. Willy Paul

2. Gospel Female Artist Of The Year

D. Mercy Lai

3. Gospel Group Of The Year

E. Biblizerz

4. Gospel Song Of The Year

D. Sitolia – Willy Paul & Gloria Muliro

5. Reggae or Ragga Artist / Group Of The Year

*D. Singerz Babz

6. Afro Fusion Artist Of The Year

E. Sudi Boy

7. Rap and Hip Hop Artist / Group Of The Year

C. Cannibal

8. Chipukizi Artist Of The Year

C. Cypreezy

9. Blogspot Of The Year

A. http://mashav-mashav.blogspot.com/

10. Club DJ Of The Year

C. DJ Flaxx – Bella Vista Pub & Restaurant

11. Dance Group (Qatika Award)

A. Tsunami

12. Male Artist Of The Year

C. Kidis

13. Female Artist Of The Year

D. Petra

14 Diaspora Artist Of The Year

A. Tierra Gee

15. Group Of The Year

D. WRM Krew (Johnny Skani, Totti, Real Flick, Kurutu, Shaka, K-Lama and Kavalier)

16. Video Of The Year

D. Si Vibaya - Chikuzee

17. Collabo Of The Year

A. My City My Town – Cannibal & Prezzo

18. Song Of The Year

C. Si Vibaya - Chikuzee

19. Producer Of The Year

C. Amz – SQ Records

20. Recording Studio Of The Year

C. SQ Records

Radio Category

21. Male Radio Presenter

A. Gates Mgenge – Pwani FM

22. Female Radio Presenter

B. Sister Shaniz – Radio Kaya

23. Male Radio Presenter (Nairobi)

D. Mike Mondo – Hot 96

24. Female Radio Presenter (Nairobi)

A. Esther Ingolo – Radio Maisha

25. News Radio Anchor Of The Year

E. Christine Manyongi – Radio Kaya

26. Radio Show Of The Year

A. Mashav Mashav – Pwani FM

27. Radio Show Of The Year (Nairobi)

A. Mambo Mseto – Citizen

28. Radio DJ Of The Year

E. DJ Ken – Baraka FM

29. Radio Station Of The Year

A. Pwani FM

Television Category

30. Male TV Anchor Of The Year

B. Ali Manzu – KTN

31. Female TV Anchor Of The Year

D. Mwanahamisi Hamadi – Citizen TV

32. TV Show Of The Year

A. Mseto East Africa (Citizen TV) Hosted By Willy M Tuva & DJ Flash

33. Lifetime Achievement Award – Them Mushrooms Band


4. Gospel Song Of The Year

D. Sitolia – Willy Paul & Gloria Muliro

5. Reggae or Ragga Artist / Group Of The Year

*D. Singerz Babz

6. Afro Fusion Artist Of The Year

E. Sudi Boy

7. Rap and Hip Hop Artist / Group Of The Year

C. Cannibal

8. Chipukizi Artist Of The Year

C. Cypreezy

9. Blogspot Of The Year

A. http://mashav-mashav.blogspot.com/

10. Club DJ Of The Year

C. DJ Flaxx – Bella Vista Pub & Restaurant

11. Dance Group (Qatika Award)

A. Tsunami

12. Male Artist Of The Year

C. Kidis

13. Female Artist Of The Year

D. Petra

14 Diaspora Artist Of The Year

A. Tierra Gee

15. Group Of The Year

D. WRM Krew (Johnny Skani, Totti, Real Flick, Kurutu, Shaka, K-Lama and Kavalier)

16. Video Of The Year

D. Si Vibaya - Chikuzee

17. Collabo Of The Year

A. My City My Town – Cannibal & Prezzo

18. Song Of The Year

C. Si Vibaya - Chikuzee

19. Producer Of The Year

C. Amz – SQ Records

20. Recording Studio Of The Year

C. SQ Records

Radio Category

21. Male Radio Presenter

A. Gates Mgenge – Pwani FM

22. Female Radio Presenter

B. Sister Shaniz – Radio Kaya

23. Male Radio Presenter (Nairobi)

D. Mike Mondo – Hot 96

24. Female Radio Presenter (Nairobi)

A. Esther Ingolo – Radio Maisha

25. News Radio Anchor Of The Year

E. Christine Manyongi – Radio Kaya

26. Radio Show Of The Year

A. Mashav Mashav – Pwani FM

27. Radio Show Of The Year (Nairobi)

A. Mambo Mseto – Citizen

28. Radio DJ Of The Year

E. DJ Ken – Baraka FM

29. Radio Station Of The Year

A. Pwani FM

Television Category

30. Male TV Anchor Of The Year

B. Ali Manzu – KTN

31. Female TV Anchor Of The Year

D. Mwanahamisi Hamadi – Citizen TV

32. TV Show Of The Year

A. Mseto East Africa (Citizen TV) Hosted By Willy M Tuva & DJ Flash

33. Lifetime Achievement Award – Them Mushrooms Band

4. Gospel Song Of The Year

D. Sitolia – Willy Paul & Gloria Muliro

5. Reggae or Ragga Artist / Group Of The Year

*D. Singerz Babz

6. Afro Fusion Artist Of The Year

E. Sudi Boy

7. Rap and Hip Hop Artist / Group Of The Year

C. Cannibal

8. Chipukizi Artist Of The Year

C. Cypreezy

9. Blogspot Of The Year

A. http://mashav-mashav.blogspot.com/

10. Club DJ Of The Year

C. DJ Flaxx – Bella Vista Pub & Restaurant

11. Dance Group (Qatika Award)

A. Tsunami

12. Male Artist Of The Year

C. Kidis

13. Female Artist Of The Year

D. Petra

14 Diaspora Artist Of The Year

A. Tierra Gee

15. Group Of The Year

D. WRM Krew (Johnny Skani, Totti, Real Flick, Kurutu, Shaka, K-Lama and Kavalier)

16. Video Of The Year

D. Si Vibaya - Chikuzee

17. Collabo Of The Year

A. My City My Town – Cannibal & Prezzo

18. Song Of The Year

C. Si Vibaya - Chikuzee

19. Producer Of The Year

C. Amz – SQ Records

20. Recording Studio Of The Year

C. SQ Records

Radio Category

21. Male Radio Presenter

A. Gates Mgenge – Pwani FM

22. Female Radio Presenter

B. Sister Shaniz – Radio Kaya

23. Male Radio Presenter (Nairobi)

D. Mike Mondo – Hot 96

24. Female Radio Presenter (Nairobi)

A. Esther Ingolo – Radio Maisha

25. News Radio Anchor Of The Year

E. Christine Manyongi – Radio Kaya

26. Radio Show Of The Year

A. Mashav Mashav – Pwani FM

27. Radio Show Of The Year (Nairobi)

A. Mambo Mseto – Citizen

28. Radio DJ Of The Year

E. DJ Ken – Baraka FM

29. Radio Station Of The Year

A. Pwani FM

Television Category

30. Male TV Anchor Of The Year

B. Ali Manzu – KTN

31. Female TV Anchor Of The Year

D. Mwanahamisi Hamadi – Citizen TV

32. TV Show Of The Year

A. Mseto East Africa (Citizen TV) Hosted By Willy M Tuva & DJ Flash

33. Lifetime Achievement Award – Them Mushrooms Band

Photo of The Day: Eric Omondi Hangs Out With Baba Jimmy and VP Kalonzo



Jalang’o Reveals How You Can EASILY Make Money on Facebook

Christmas is just a week away and it goes without saying that we all want to unwind after a year full of highs and lows but that needs cash. Realizing that most guys’ wallets “may not have much to say”, comedian Jalang’o came up with a six-step guide of making money on Facebook, hustle-free! Follow these easy steps and you may just be laughing your way to the bank;

How to make money on fcbk...pls fuata hizi steps
1. Create acc na ujipatie jina ya dem

2.jina ikue ile moto eg. Sussy sassy Aggie

3.weka profile pic matata ya msupa...rangi nayo ? Nywele nayo ? Cleavage kusema,haga kama yote

4. Tumia kaboy anajichocha na kujionyesha kina tu pesa frnd request

5.wacha aanze kukukatia..na usiingie box haraka ....mpatie ka ka wiki moja au mbili...sahizo unamshow vile uko single

6.akitaka kukuona mwambie uko mbali na unataka doo za kukuja ...mtumie namba yako ya fcbk

7.atatuma mpesa ..akikuuliza mbona hujakuja mwambie hukupata ...atatuma tena ...........

Wednesday 12 December 2012

MADAKTARI WASEMA OPERESHENI KUMFANYA TYSON MWANAMKE YAFANIKIWA............

Mike Tyson 'Michelle' ambaye anayedaiwa kujibadili na kuwa mwanamke.
BINGWA mashuhuri wa zamani wa uzito wa juu duniani, Mike Tyson, anasemekana yuko katika hali nzuri baada ya kujibadili na kuwa mwanamke katika operesheni aliyofanyiwa huko Beverly Hills, Marekani, hivi karibuni ambapo amebadili jina na anajiita Michelle.
Kuna wakati Tyson alikuwa anajulikana kama “Mtu mwenye sura mbaya zaidi duniani”!
Tyson ambaye amebadili jina na kujiita Michelle.
“Watu wanaona ni ajabu mie kuwa mwanamke hivi sasa,” alisema Tyson ambaye aliwahi kufungwa kwa kubaka, na ambaye amefanyiwa mabadilko kadhaa ya uso, pua na viungo vingine kwa masaa 16.  Aliongeza kwamba: “Hata nilipokuwa bondia nilikuwa natamani sana kuwa na matiti na nyeti za mwanamke.”
Iron Mike au Iron Maiden kama anavyojulikana sasa aliyasema hayo akiwa ametulia huku amevaa wigi la kike, suruali ya ‘jeans’ ya bluu na T-shirt yenye picha ya Vanessa Bruno ambapo alidokeza kwamba mara sehemu zote nyeti za kike zitakapojitokeza atawadhihirishia Wamarekani kwamba yeye si “mvulana mbaya” tena.
Amesema  ameutunza uume wake ulioondolewa katika chupa ili kuwakumbusha wabaya wake waliokuwa wakimfanyia  vitendo vya kuchukiza yeye na “wavulana wazuri” wengine huko gerezani.
Japokuwa wachambuzi wa masuala ya ndondi mwanzoni walishangazwa na maneno hayo ya Tyson, wengi wamekiri kwamba alama za yeye kupenda hivyo zilikuwepo.
“Mmoja amesema kwamba: “Huko nyuma, alikuwa  anapenda sana kuvaa sana glovu za kike, viatu virefu vya ngozi vya kike na magauni ya hariri, na pia alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana heleni.”



KAMA WEWE NI SHABIKI WA ROMA BASI HII INATUHUSU

Msanii wa Hip Hop kutoka Tanga maarufu kama Roma Mkatoliki siku ya leo anatimiza miaka kadhaa toka azaliwe.Team nzima ya mfb-ent.blogspot.com Tunamtakia all the best katika game

Tuesday 11 December 2012

EXCLUSIVE: RAY C AMEPONA NA LEO AMEPATA NAFASI YA KUMTEMBELEA RAIS JAKAYA KIKWETE IKULU JIJINI DAR


Mwanamuziki wa Bongo Fleva maarufu kama Ray C siku ya leo amemtembelea Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam na kumshukuru kwa msaada wa matibabu kipindi alipokuwa mgonjwa.
Kwa upande wa mama mzazi wa Ray C amemshukuru sana Rais Kikwete kwa kuokoa maisha ya mwanaye.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Ray C kushoto,Mama yake mzazi Ray C Bibi Margareth Mtweve( kushoto) na kulia ni Sarah Mtwere Dada yake Ray C.

PHOTO OF THE DAY: Amani’s Latest Photoshoot

The ever dazzling diva Amani shared a couple of pictures of herself on social media last week and it seems that purple is defintely her colour. This is all ahead of an imminent collaboration she has in the pipeline with an unidentified Tanzanian artiste.
The singer left the country rather impromptu at the start of the month, but has promised her fans that her latest musical project will definitely leave a lasting impression.
(SEE ALSO: Amani’s track in our 2012 Most Beautiful Videos of the Year)
 http://niaje.com/2012-niaje-top-5-most-beautiful-videos/

RAY APEA CHEO KIKUBWA NDANI YA BONGO MOVIE


Msanii wa Filamu za Bongo Movie hapa nchini maarufu kama Ray, siku za hivi karibuni baada ya kikao cha mwisho cha wasanii kilichofanyika Leaders Club aliweza kuteuliwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie huku akifuatiwa na Irene Uwoya ambaye ni Makamu mwenyekiti, bila kusahau katibu mkuu mpya ni Chiki Mchoma.
                                                                   Jack Wolper  na JB                 
                Ray akiongea machache baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bongo Movie
    Irene Uwoya na Chiki Mchoma wakiwa katika furaha baada ya kuteuliwa kuwa viongozi wapya katika sanaa ya Bongo Movie.   

Friday 7 December 2012

UGANDA YAINGIA FAINALI BAADA YA KUICHAPA KILIMANJARO STARS MABAO 3:0

 Beki wa Kilimanjaro Stars, Erasto Nyoni akitafuta mbinu ya kumpita beki wa timu ya Uganda, Godfrey Walusimbi wakati wa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Cecafa challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda jana. Uganda ilishinda 3-0.
 Mwinyi Kazimoto (mwenye mpira katikati) akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini uganda jana. Uganda ilishinda 3-0.
 Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngasa akimuweka chini beki wa timu ya Uganda wakati wa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela jana. Uganda ilishinda 3-0.
 Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwasalimia mashabiki kabla ya kuanza kwa mchezo wa nusu Fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Chalenge dhidi ya wenyeji, Uganda uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela jana. Uganda ilishinda 3-0.
 Mchezaji wa Kilimanjaro Stars, Mwinyi Kazimoto (kushoto) akimlamba chenga beki wa timu ya Uganda, Godfrey Walusimbi wakati wa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela jana. Uganda ilishinda 3-0.
Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, John Bocco akiwania mpira na beki wa timu yaUganda, Isaac Isinde wakati wa mchezo wa nusu fainali ya pili ya michuano ya Cecafa challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela jana. Uganda ilishinda 3-0.
Sasa ni wazi kuwa Uganda itajibwaga uwanjani katika mkondo wa hatua ya fainali na kumenyana na Kenya, usisahau kuwa katika mechi zamakundi tayari Kenya ilikarangwa na Cranes Moja Nunge sasa yupi Gwiji wa Cecafa.