flash3

Thursday 6 December 2012

KENYA WAFANIKIWA KUINGIA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA ZANZIBAR KWA MIKWAJU YA PENATI!

 Wachezaji wa Zanzibr Heroes wakishangilia goli la pili wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole Jijini Kampala
 Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala.
Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala.

Mchezo huu umemalizika kwa Kenya kuifunga Zanzibar kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 120 kumalizika kwa timu hizo kufungana bao 2:2

No comments:

Post a Comment