flash3

Thursday 17 October 2013

Mungu Yule Alikuumba wewe Mtoto Wa Kike Ndiye Alimuumba Huyu Model Agness Masogange_

LULU ASIMULIA ANAVYOTONGOZWA NA MAMIA YA WANAUME KWA SIKU ...SOMA HAPA ALICHOSEMA


MSANII wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael, maarufu kwa jina la (Lulu) ameonyesha kufurahishwa na tukio la wanaume wengi wenye pesa nyingi kumtongoza na kumtaka kimapenzi kila kukicha..

Akizungumza na mpekuzi wetu,Lulu alisema kwamba pamoja na kwamba wanaume wengi wa kila aina na wenye pesa nyingi wanamtongoza kila siku, lakini pia anafurahia kupendwa na kwamba anapogundua kwamba anapendwa huwa anajisikia raha na mwenye rufaha zaidi.

"Ninatongozwa sana kila siku na wanaume, tena wenye pesa zao.Binafsi nafurahi sana kupendwa na ninapogundua kwamba mtu flani ananipenda huwa najisikia faraja sana..

"Kutongozwa kwa mwanamke yeyote mzuri ni jambo la kawaida.Kukubali au kukataa ombi la mwanaume ni maamuzi ya mtu binafsi. Mpekuzi naomba usiniulize ni wangapi nimewakubali au kuwakataa
( huku akicheka )

Akifunguka zaidi kuhusu bahati hiyo , Lulu alidai kuwa hali ya kutongozwa sana iliongezeka baada ya yeye kutoka gerezani...

"Niliporejea uraiani, kasi ya kutongozwa ilizidi sana tofauti na nilivyokuwa nadhani".

Wednesday 16 October 2013

Birdman amsaini The Game chini ya YMCMB


Nikki Miinaj, Drake na Lil Wayne waongezewa mshkaji mwinginekatika familia yao baada ya The Game kusainiwa rasmi  chini ya YMCMB siku ya jana.
Cash Money C.E.O, Birdman ametangaza rasmi kumsaini Rapper huyo kupitia ukurasa wake wa twitter pale alipompa big up kwa kuingia katika chama hilo ambapo The Game nae, alitoa salut kwa timu hiyo na kupitia ukurasa wake wa twitter.
Rpper huyo kutoka Compton, 33, aliwahi kuwa chini ya Interscope Records na kutoa album 5 ambazo zote zilifika mpaka nafasi ya kwanza katika chats mbali mbali  ilkiwemo album ya kwanza kabisa The Documentary iliyotoka 2005.

Rihhana aongoza nominations za American Music Awards kwa kuingia categories 5, list nzima iko hapa

siku ya jana majina ya wasanii watakaowania tuzo za mziki wa Marekani "American Music Awards yalitangazwa, na kwa mwaka huu pia Rihanna ametisha kwa kuingia katika sehem 5, huku Robin Thick, Justine Timberlalke, JayZ wakiwa ndani. cheki na list nzima


ARTIST OF THE YEAR
Macklemore & Ryan Lewis
Bruno Mars
Rihanna
Taylor Swift
Justin Timberlake 

NEW ARTIST OF THE YEAR PRESENTED BY KOHL'S
Florida Georgia Line
Ariana Grande 
Imagine Dragons
Macklemore & Ryan Lewis
Phillip Phillps 

SINGLE OF THE YEAR
Florida Georgia Line Featuring Nelly, "Cruise"
Macklemore & Ryan Lewis Featuring Wanz, "Thrift Shop"
Robin Thicke Featuring Pharrell & T.I., "Blurred Lines"

FAVORITE MALE ARTIST – POP/ROCK 
Bruno Mars
Robin Thicke
Justin Timberlake

FAVORITE FEMALE ARTIST – POP/ROCK
P!nk
Rihanna
Taylor Swift

FAVORITE BAND, DUO OR GROUP – POP/ROCK
Imagine Dragons
Macklemore & Ryan Lewis
One Direction

FAVORITE ALBUM – POP/ROCK 
One Direction, "Take Me Home"
Taylor Swift, "Red"
Justin Timberlake, "The 20/20 Experience"

FAVORITE MALE ARTIST – COUNTRY
Luke Bryan
Hunter Hayes
Blake Shelton

FAVORITE FEMALE ARTIST – COUNTRY
Miranda Lambert
Taylor Swift
Carrie Underwood

FAVORITE BAND, DUO or GROUP - COUNTRY
The Band Perry
Florida Georgia Line
Lady Antebellum 

FAVORITE ALBUM - COUNTRY 
Luke Bryan, "Crash My Party"
Florida Georgia Line, "Here’s To The Good Times"
Taylor Swift, "Red"

FAVORITE ARTIST – RAP/HIP-HOP
Jay Z
Lil Wayne
Macklemore & Ryan Lewis 

FAVORITE ALBUM – RAP/HIP-HOP 
Jay Z, "Magna Carta…Holy Grail"
Kendrick Lamar, "good kid, m.A.A.d city"
Macklemore & Ryan Lewis, "The Heist" 

FAVORITE MALE ARTIST – SOUL/R&B 
Miguel
Robin Thicke
Justin Timberlake 

FAVORITE FEMALE ARTIST – SOUL/R&B 
Ciara
Alicia Keys
Rihanna 

FAVORITE ALBUM – SOUL/R&B 
Rihanna, "Unapologetic"
Robin Thicke, "Blurred Lines"
Justin Timberlake, "The 20/20 Experience"

FAVORITE ARTIST - ALTERNATIVE ROCK
Imagine Dragons
The Lumineers
Mumford & Sons

FAVORITE ARTIST - ADULT CONTEMPORARY 
Maroon 5
Bruno Mars
P!nk 

FAVORITE ARTIST - LATIN 
Marc Anthony 
Prince Royce
Romeo Santos

FAVORITE ARTIST - CONTEMPORARY INSPIRATIONAL
tobyMac
Chris Tomlin
Matthew West

FAVORITE ARTIST - ELECTRONIC DANCE MUSIC (EDM)
Avicii
Daft Punk
Calvin Harris
Zedd

TOP SOUNDTRACK
"The Great Gatsby: Music From Baz Luhrmann's Film"
"Les Miserables"
"Pitch Perfect"

Thursday 10 October 2013

Unfaithful singer Rihanna amejichora tattoo nyingine mkononi ikionyesha watu wa zamani wa New Zealand. Amejichora tattoo hiyo kwenye mkono wake wa kulia.

(News) DIAMOND na WEMA SEPETU ndani ya movie hii "TEMPTATIONS"

Wednesday 9 October 2013

TAARIFA:I REAL LOVE MY PENNY,SINA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WEMA



Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana 
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
 Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
 ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu 
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..

 Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
 kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? 
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana 
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
 wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
 na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.

Tuesday 1 October 2013

VIDEO – ANOTHER NOLLYWOOD STAR JIM IYKE CAPTURED AT SCOAN LIVE!

Making a surprise appearance in The SCOAN, Nollywood superstar Jim Iyke entered quietly and unannounced, joining worshippers from around the world as they listened to the inspiring message from renowned Prophet T.B. Joshua.



As The SCOAN’s Wise Men moved through the congregation in prayer, the lightning of God located Iyke and he was no longer able to control himself. Lunging towards one of the Wise Man as if to attack him, an evil spirit that had been tormenting the life of Jim Iyke manifested! The congregation in the auditorium and the overflow congregations shouted in surprise as they began to witness the deliverance of a m
Jim Iyke, born James Ikechukwu Esomugha, is currently one of the highest paid actors in the Nigerian movie industry and cultivated the name “Nollywood bad boy” for himself. As one of the most successful actors in Nollywood, he has starred in over 150 films to date. He has launched his own film production unit, “Untamed Productions” and his own music label, “Untamed Records” with his very own album, “Who Am I?” He is also founder of “Jim Iyke Foundation”, contributing funds to children of the less privileged and children with physical challenges.

Among his movie awards are: The Teenage Choice Award, Best Actor In Nigerian Entertainment Award, African Achievement Award, Best Actor of the Year (Mode Men Award 2010), Sexiest Man In Nigeria 2008, Best African Actor (NET Awards).

The evil spirit that had tormented the life of Jim Iyke for so many years began to manifest, confessing that it was the cause of Iyke’s setback and disappointment. It confessed that it was the reason he could never marry, stating that it would not allow him to love anyone. It continued confessing that Iyke was the biggest and that it was only God’s grace that had kept him. As the evil spirit inside him struggled to attack the Wise Man, the supremacy of the Holy Spirit continued to overpower it.

The deliverance continued but the battle was not against flesh and blood; it was against the spiritual entities that had been causing crisis in his life, family, health, career and future.

To the jubilation of the congregation, the name of Jesus Christ prevailed over the evil spirit and Jim Iyke received his freedom. Overwhelmed with what had just happened, Iyke immediately knelt in God’s presence, appreciating His Creator for his miraculous deliverance.

The humility demonstrated by Jim Iyke in submitting himself to the power of God should prompt others in his industry to make the same life-saving choice.

Miss Philippines ndio ameibuka mshindi wa Miss World 2013

Miss kutoka Philippines Megan Young ndio amevishwa taji la Miss World 2013 iliyofanyika usiku wa jumamosi, Bali Nusa Dua Convention Center Indonesia.

"I promise to be the best Miss World ever," Alisema Miss Megan baada ya kuvishwa taji hilo na miss world 2012, Wenxia Yu.

Young, ambae alizaliwa nchini Marekani amewashinda wasichana wengine 126 walioshiriki katika shindano hili ambalo ni la 63 tangu kuanzishwa.

Megan alihamia Philippines alipokuwa na miaka 10 na amekuwa akiishi huko mpaka hivi sasa, na kufanya kazi kama muigizaji na mtangazaji wa Televishen.

Miss France, Marine Lorphelin, 20, amekamata nafasi ya pili na Miss Ghana Carranzar Naa Okailey amekuwa wa tatu.

Miss Tanzania alieshiriki shindano hilo mwaka huu, Brigitte Alfred, ameibuka nafasi ya tatu katika shindano la Beauty with a purpose ikiwa ni shindano linaloenda sambamba na shindano la Miss World

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE

IRENE UWOYA : NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA MOVIE NA KUWAACHIA WENGINE Msanii maarufu wa bongo movie Inchini Tanzania Irene Uwoya ameaacha rasmi kuigiza bongo movie na kuamua kundelea na shughuli zake nyingine kama TV SHOWS.

Kupitia Mtandao wa DSTV Irene Uwoya alifunguka na kusema “Nimeamua kuacha mambo ya movie na kuwaachia wengine, haya maamuzi nimeyafanya kama miezi sita iliyopita… Mara ya mwisho kuigiza ni zaidi ya miezi sita iliyopita pia.”
Movie alizocheza mpaka sasa zinafika 40 lakini za kwake ni nne tu na amekiri kwamba kuacha kwake kuigiza hakuta mshushia kipato chake cha siku zote ambapo kwa movie moja ya kwake mwenyewe alikua anaiuza mpaka kwa milioni 35 Pesa ya Tz.
source DSTV