flash3

Thursday 16 May 2013

VIDEO OF THE WEEK; P UNIT FT ALICIOUS - MOBIMBA

East African BET 2013 Nominees 'WEASEL & RADIO' To Represent Uganda In Big Brother Africa (The Chase)



b_350_300_16777215_0_http___www.getmziki.com_wp-content_uploads_2013_02_Radio-and-Weasel_GetMziki.gif
Ugandan BET Awards nominees Goodlyfe duo ‘Weasel &Radio’ will be representing Uganda in Big Brother Africa 2013.
The two made the revelation of their participation in the 8th edition of the popular reality shows via Facebook stating, “We are not AFRICA’s NUMBER SIX, we are not EAST AFRICA’S richest artists, we r not all dos titles people proclaim, okay a few call us AFRICA’S DYNAMIC DUO…we are RADIO AND WEASEL from Uganda and we are here to represent, BIG BROTHER AFRICA2013 WE LIVE.”
The duo is relatively popular and has been receiving a lot of airplay especially in East Africa…
Do you think they have what it takes to clinch the $ 300,000 winner’s cash prize?

Rihanna Making It Rain On A Stripper


Rihanna is never afraid to bring out that bad girl side of hers. She was recently at a strip club and it rained dollars for the pole girls that night. Riri went with notes and made it rain on the girls as they did their thing.
b_350_300_16777215_0_https___pbs.twimg.com_media_BKRfc2ZCEAA8OD4.jpg_large
No comments:

Mr Googz Hits Out At The Gospel Fraternity!

Mr Googz Hits Out At The Gospel Fraternity!

Everytime I get shocked about something in the Kenyan gospel scene, Mfb.ent reminds me that it's 1st and foremost a business. And that always gives me clarity. And it seems this is another example of that.
Mr. Googz has fired shots at the gospel industry accusing it of not being free and fair as artists and producers and even DJs have formed cartels.
Mr. Googz lamented that unless you're in with these cliques, they lock you out. Or as he put it, "...utafungiwa pazia!" And he openly lamented that this should not be happening where people claim God is the root cause for their passion. Why would you lock out someone who praises the same God as you?
He went on to add, "Cartels exist in the gospel industry. Kuna wasee wanabelong to groups Djs & Artists na kila group ufanya job na watu wake!"

It would seem controversy stalks gospel like a roaring lion! Last year it was sex scandals and this year it's all about cartels and underhanded business tactics! Keep it mfb.ent as we find out more!

Prezzo Dating a Tanzanian Damsel, Planning to Get Married

Prezzo Dating a Tanzanian Damsel, Planning to Get Married (Photos)
It’s only prudent for a man to move on after a botched relationship. After the untimely demise of Prezzo’s sweetheart, Nigerian pop-star Goldie Harvey (RIP), el Presidente seems to have been struck by cupid once again.
The ‘Liqher’ singer is now dating a Tanzanian girl who refers to herself as Diva. The “diva” is a Radio Personality and Voice Artist at Clouds FM in Tanzania. After the rumours went out that the two were an item, she took to her twitter to confirm the same.

Thursday 9 May 2013

CHRIS BROWN AKERA MAJIRANI

chris brown
Chris Brown ambaye kila kukicha amekuwa mtu wa matukio mapya, ametokelezea na mpya nyingine tena hasa baada ya majirani zake huko Hollywood Hills kuendelea kuwa ni changamoto kwake, na safari hii wakiwa na malalamiko makubwa juu ya graffitti ambazo msanii huyu amezichora katika eneo hilo.
Hii imekuwa si changamoto pekee katika hili hasa kutokana na malalamiko mengine mengi kuhusiana na sauti kubwa ya muziki kutoka kwenye nyumba ya msanii huyu ambapo tayari amekwishapatiwa maonyo kadhaa kujirekebisha kama anataka kuepukana na adhabu pamoja na faini.
Msanii huyu pia kwa upande mwingine, amepamba vichwa vya habari baada ya kuzungumza katika mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni kuwa mahusiano yake ya kimapenzi na Rihanna yamekwisha hasa kutokana na tofauti zao pamoja na umri wao mdogo kwa sasa.

2FACE AUZA NGUO ZAKE KUSAIDIA YATIMA

2 face idibia
Mwanamuziki 2face Idibia ameamua kutoa pea ya viatu pamoja na kofia ambayo alivaa katika harusi yake ya kiasili kwa ajili ya kuuzwa ili kupatikana kwa fedha za kusaidia kituo cha watoto ambao wamepoteza mama zao huko Lagos.
Viatu hivi pamoja na kofia zitauzwa kwa njia ya mnada kupitia minada ya hisani ya vitu vya watu maarufu, Kaymu Celebrity Charity Auctions ambayo pia hufanya kazi hii kwa njia ya mtandao.
Mpango huu ulianzishwa mwezi uliopita, na mchango wa 2Face unatarajiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kusukuma mbele shughuli za kituo hiki ambacho kinasaidia watoto kwa kiasi kikubwa.

REDSAN AGHARAMIA KIDEO

redsan
Ili kudhihirisha kuwa amejipanga na hatanii katika kazi zake, Msanii wa muziki wa mindoko ya Dancehall kutoka humu nchini, Redsan amesema kuwa, Video ya ngoma yake mpya ya Badder Than Most, itafanyiwa shooting kwa sehemu nchini Kenya, na kwa sehemu nyingine itafanyika huko Miami.
Redsan amesema kuwa hatua hii ni kwa ajili ya kuipatia video hii muonekano halisia wa kujiachia na kupati, na amejipanga sawa sawa kuhakikisha kuwa hili linafanyika kwa ubora wake.
Hatua hii ambayo amejipanga kuifanya Redsan ni ya gharama kubwa kiasi chake ingawa msanii huyu amekataa kabisa kutaja fungu ambalo ameliandaa kukamilisha kazi hii, na sasa macho ya wapenzi wengi wa muziki yanasubiri kuona video yenyewe itakuwaje.

BAADA YA GERGUSON KUSTAAFU SOKO LA HISA ZA MAN U ZASHUKA

Sir Alex Ferguson
Taarifa za kustaafu kwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson zimeifanya klabu hiyo kupoteza mapato yake.
Huku maelfu wa mashabiki wakionekana kushtushwa na habari za kustaafu kwa Fergie maarufu kama babu, lakini pia upande wa masoko kwa klabu ya Manchester United kumekuwa na pigo pia.
Hii ni baada ya kushuka kwa ununuzi wa hisa za klabu hiyo kwa zaidi ya asilimia tano kwenye soko la hisa la New York.
Wachambuzi wa masuala ya biashara wameeleza hofu yao juu ya kushuka kwa biashara za United kufuatia kuondoka kwa Ferguson kwa kusema itakuwa kazi kubwa kumpata mrithi wake ambaye ataweza kuchagiza mafanikio ya klabu hiyo yatakayovutia wadhamini mbalimbali kama alivyofanya kwa miaka 27 aliyokaa na United.
Familia ya Malcom Glazer yenye makao yake Miami nchini Marekani ambayo ndio inayomiliki klabu ya Manchester United bado haijatangaza mrithi wa Ferguson japo wadadisi na vyanzo vya karibu vya United vinasema huenda kocha wa Everton, David Moyes akakabidhiwa jukumu la kuifundisha United,taarifa ambazo hazijathibitishwa wala kukanushwa na uongozi wa Old Trafford.
Kushuka huko kwa hisa za United kumeifanya klabu hiyo kupoteza mapato yake kwa karibu asilimia 1.3 kwa hisa moja ambayo hununuliwa kwa dola za kimarekani 18.52 kwa hisa.
Licha ya kushuka kwa hisa hizo kufuatia taarifa za kustaafu kwa Ferguson lakini zaidi ya asilimia 30 ya hisa za United ziliuzwa kwenye soko la hisa
Chanzo cha habari hii ni mtandano wa bbc swahili.

Wednesday 8 May 2013

PAUL P.SQUARE ADAIWA KUTELEKEZA MKE

Paul okoye
Imeelezwa kuwa nyota wa kundi maarufu la P Square nchini Nigeria, Paul Okoye amemtelekeza mama wa mtoto wa pili wa nyota huyo katika hospitali moja jijini London nchini Uingereza ambako mwanamama huyo amejifungua mtoto wake wa kiume anayesemekana amebatizwa jina la Michelle Paul Okoye.
Habari hizo ambazo zimesambaa kupitia mitandaoni na kushtua mashabiki zimeelezea kuwa zimepita wiki kadhaa nyota huyo kuzaa mtoto wake wa kwanza huko Atlanta na aliyewahi kuwa mlimbwende mmoja ambaye Paul amekataa kuchukua jukumu la kumlea mtoto huyo wa kiume.
Hivi sasa mama huyo ambaye Paul amemtelekeza huko London anajulikana kwa jina la Elshama Benson Igbanoi, mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mlimbwende wa jimbo la Plateau, aliyejifungua huko Queen Charlotte katika hospitali ya Chelsea London.
Taarifa zilizopo ni kuwa hospitali hiyo inamdai mwanamama huyo gharama za kujifungua na matibabu yanayofikia kiasi cha paundi elfu tano.

WIZKID APASUA ANGA

Wizkid
Akiwa bado anamake headlines nchini Nigeria rapa Wizkid anazidi kudhihirisha kuwa anaimudu game ya muziki na hivi sasa mkali huyo amefyatua wimbo mpya alioufanya na mwanamuziki nguli wa miondoko ya Afrobeat na mshindi wa tuzo maarufu za grammy barani Afrika, Femi Kuti katika wimbo uliobatizwa jina, (SHEIYO SHEIYO)
Ayo Balogun aka Wizkid ambaye hivi karibuni alisaini upya mkataba wake na label ya EME, ametoa trak hiyo mpya na nyota huyo ambaye ameupamba wimbo huo kwa utaalamu wake wa kutumia chombo cha muziki aina ya saxophone.
Trak hiyo imefanyiwa utayarishaji na Prodyuza Sarz ambapo Wizkid mwenyewe ameelezea kuwa mnamo tarehe 12 mwezi June mwaka huu anatarajia kuachia albamu yake chini ya label za EME na Starboy Entertainment act.

UGANDA INAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MARTIN ANGUME

Martin Angume
Mwanamuziki maarufu wa nchini Uganda, Martin Angume ameaga dunia katika Hospitali ya Mulago huko Kampala hasa baada ya kuugua maradhi mbalimbali kwa muda mrefu
Angume ambaye ameacha wake wawili na watoto watatu, alijipatia umaarufu wake mkubwa katika miaka ya 2000 hasa baada ya nyimbo zake kama vile Gear na Switcha kati ya nyinginezo kueleweka sana katika masikio ya wapenzi wa muziki Uganda na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kifo cha msanii huyu kimekuja wakati wa Uganda na wapenzi wa burudani nchini humo wakiwa bado na machungu ya kupotelewa na DJ Momo ambaye ameacha jina kubwa katika muziki jijini Kampala. May God rest their souls in eternal peace.

LAURYN HILL KWENDA JELA

LAURYN HILL
Baada ya kufeli kulipa deni la kodi la dola milioni 1 ndani ya wakati aliokuwa amepewa na mahakama, Mwanamuziki mkongwe mwenye rekodi ya kushinda tuzo za Grammys, Lauryn Hill amehukumiwa kifungo cha miezi 3 jela.
Mbali na kukomaa na kulipa kiasi cha dola laki 9, zaidi ya shilingi bilioni 1 na milioni 400 za kitanzania mpaka juzi, ili kujaribu kujiokoa na kitanzi hiki, Deni la mwanadada huyu bado lilionekana waziwazi kumuelemea hasa kutokana na riba na faini ambazo ziliongezeka katika madeni yake ya muda mrefu.
Hill kwa sasa anajipanga kujirudisha tena katika game ya muziki na kwa mujibu wa hukumu anatakiwa kuripoti gerezani tarehe 8 mwezi July kwaajili ya kuanza kutumikia kifungo chake.

HUYU NDIO MSANII WA UGANDA AMBAYE AMEKAMATWA HUKO JAPAN KWA TUHUMA ZA KUPATIKANA NA DAWA ZA KULEVYA

iryn namubiru q
Iryn Namubiru, mwanamuziki kutoka nchini Uganda ambaye ameripotiwa kukamwatwa huko nchini Japan kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya.
Ripoti zinaweka wazi kuwa, Iryn alienda nchini humo kwaajili ya kufanya show Jumamosi iliyopita, Tarehe 4 huko Tokyo, Yotsukaido Cultural Hall, na hadi dakika ya mwisho ya mpango huu, promota aliingia mitini, issue iliyomlazimu Iryn kuripoti tukio hili polisi.
Story kwa mtaa ni kwamba kabla ya ziara hii, Iryn alikuwa apae kuelekea Japan sambamba na Dr Hilderman pamoja na King Michael lakini hawa wengine walichomoa hasa baada ya promota huyu aliyetambulika kwa jina la Kim Ueno kushindwa kuwalipa kiasi walichokubaliana kama advance kwaajili ya show na kwaajili ya ticketi zao za ndege kurudi Uganda.

BREAKING NEWS : UNITED CONFIRM SIR ALEX FERGUSON RETIREMENT


Manchester United have confirmed Sir Alex Ferguson will retire at the end of the season.
Manchester United manager Sir Alex Ferguson ametangaza kustafu mwisho wa msimu huu baada ya kuifundisha Man Utd kwa kipindi cha miaka 27.
Sir Alex said in a statement that it was important to him to leave the club in the ‘strongest possible shape.’
He said: ‘The decision to retire is one that I have thought a great deal about and one that I have not taken lightly. It is the right time.
‘It was important to me to leave an organisation in the strongest possible shape and I believe I have done so.

CHRIS BROWN ATHIBITISHA KUACHANA NA RIHANNA

It’s official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja tena au kwa sasa hawako pamoja.
wapenzi hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend zao kwa umbali wa maili 300 weekend iliyopita, huku Chris akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center kwenye game kati ya Nets na Bulls 
kwa mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya mashbiki wao kuhisi kama wako pamoja au la, lakini finally ameamua kuzungumza wakati wa interview aliyofanya na “The Kyle and Jackie O Show.”  wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi ingekuwa zawadi nzuri kwake.
ambapo Chris alisema kukutana na wasichana wengi iwezekanavyo Vegas, kitu kilichomfanya mtangazaji kama yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of the day, shawty doing her own thang. She on the road… It’s always gonna be love… I’m a grown man, just gotta fast forward."
na alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na kuwa siku zote watakuwa pamoja hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always want to do is never disrespect nobody or put nobody down. The way I look at it is that I am always gonna love that person and people have different wants and needs.  At the end of the day, she’s a young girl. I can’t really be focused on wifing someone that young. And I’m young too so I can’t focus on that right now. I gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown I can be instead of worrying about whoever else is gonna be on my side pocket."