flash3

Wednesday 8 May 2013

UGANDA INAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MARTIN ANGUME

Martin Angume
Mwanamuziki maarufu wa nchini Uganda, Martin Angume ameaga dunia katika Hospitali ya Mulago huko Kampala hasa baada ya kuugua maradhi mbalimbali kwa muda mrefu
Angume ambaye ameacha wake wawili na watoto watatu, alijipatia umaarufu wake mkubwa katika miaka ya 2000 hasa baada ya nyimbo zake kama vile Gear na Switcha kati ya nyinginezo kueleweka sana katika masikio ya wapenzi wa muziki Uganda na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kifo cha msanii huyu kimekuja wakati wa Uganda na wapenzi wa burudani nchini humo wakiwa bado na machungu ya kupotelewa na DJ Momo ambaye ameacha jina kubwa katika muziki jijini Kampala. May God rest their souls in eternal peace.

No comments:

Post a Comment