flash3

Wednesday 31 October 2012

SAJUKI SOON KUTOA NGOMA YAKE MPYA


Baada ya kuumwa sana na ugonjwa usiofahamika sasa msanii huyu wa Bongo movie hivi sasa anatembelea pia ana driving yeye mwenyewe kwa kweli inatupasa tumshukuru Mungu kwa kupona kwa msanii wetu.Sasa jana baada ya kuwasili hapa mjengoni aliweza kuwashukuru watu wote walioweza kumchangia kiasi cha Fedha ili aweze kupata matibabu lakini msanii huyu aliweza kufunguka na kusema kwamba japokuwa anafanya Bongo movie lakini amefanya ngoma ya mpya soon anatarajia kuiachia siku za h

Rihanna’s dinner date... with Chris Brown’s mum

Rihanna and Chris Brown
Halloween date ... Rihanna has asked Chris Brown to join her for spooky party in LA

RIHANNA has at least one person backing her rekindled romance with CHRIS BROWN – his mum.

The Bajan singer and JOYCE HAWKINS went for dinner this week at a restaurant in Beverly Hills.
A source said: “Chris’s mum is Rihanna’s biggest fan and is glad they are getting back together.
“The pair get on really well. Joyce has also been urging him to cut ties with his ex, KARRUECHE TRAN, to keep Rihanna happy.”
On Sunday, Chris and Karrueche attended a Halloween party together.
Tonight Rihanna hosts her own spooky event in LA and has invited the R&B singer, who assaulted her in 2009, to be her date.

Tuesday 30 October 2012

Picha Ya Leo.....

Du!!! Mambo Mbaya!!!

EXCLUSIVE:SUMA LEE AIBIWA GARI LAKE MAENEO YA COCO BEACH

Kama unakumbuka lile gari ambalo mtu mzima Suma Lee alilopata nalo ajali kipindi akielekea zake mkoani Kigoma  kupiga show, sasa habari ambayo tumeipata hivi sasa kutoka kwa msanii huyu ni kwamba siku ya Jumapili iliyopita akiwa zake maeneo ya Coco Beach alijikuta ni mtu ambaye sio mwenyewe furaha baada ya kuibiwa gari lake siku hiyo.

BONGO MOVIE:MEYA SOON KUFANYA KAZI NA CHINEDU

Msanii anayefahamika kwa jina la Meya Shabani almaarufu kama Aki wa Bongo anafanya mipango ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria Nollywood, Chinedu na Osita.  katika mazungumzo hayo Meya alisema kwamba wasanii hawa wawili wanaweza wakaja hapa Tzee japokuwa ndiyo wapo katika mazungumzo na wasanii mbalimbai wa Tze ili wapate ushauri katika kufikisha malengo yao ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria.

Kourtney Kardashian gets a firm squeeze from boyfriend Scott Disick

REALITY star Kourtney Kardashian and her boyfriend Scott Disick get a little too up close and personal in the street in this cheeky snap.

Eager Scott, 29, was clearly pleased to see his girlfriend and went for a full-on rump-assault as he embraced her by their car.
Kourtney, 33, struggled to keep her orange playsuit in place as they passionately kissed, clutching at the sides while Scott dragged her further into his arms.
Kourtney Kardashian grins as Scott Disick cuddles her
Happy ... Kourtney grins as Scott cuddles her
She was seen teetering on her nude lace-up Louboutin's during the affectionate display.
Kourtney and Scott - who have two children together, Mason, two, and three-month-old Penelope - clearly have no problems keeping the passion alive in their relationship.
Reports suggest that the pair could be gearing up for an engagement, after Scott was spotted shopping for a ring in Florida last week.
Kourtney Kardashian rubs Scott Disick's cheek
Affection ... Kourtney rubs Scott's cheek
An onlooker told US gossip site Radar Online: "Scott was most definitely shopping for engagement rings, and all of them were large.
"Scott and his friend looked at a whole selection of amazing rings, all diamond, all different cuts, sizes, settings — he certainly is taking his time and wants to make the right purchase."
Kourtney will be in the UK next month with her sisters Kim and Khloe to promote the launch of their Kardashian Kollection clothing range at Dorothy Perkins stores.

Monday 29 October 2012

Picha Ya Leo...........

Kama Kuoga Sio Tabia Yako Ukifika Mitaa Ya Mariakani Na 'Nongo' Zako Jiandae Kufanywa Hivi!!! Hahahahahaha

Saturday 27 October 2012

PICHA ZA UTUPU ZAMFANYA HUSNA AMWAGE MACHOZI

HUU NDO MKASA AMBAO  HUSNA  HATAUSAHAU MAISHANI MWAKE.........HILI NDO SIMULIZI LALE  BAADA YA  PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA....
------------------------------------------------------------------
“Ni kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali kupiga,” alisema huku akimwaga machozi.

“Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.
 
“Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.

“Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali.
  “Kuna wakati alinipigia simu na kunieleza kuwa flashi iliyokuwa na picha zangu za utupu pamoja na Mary (aliyekuwa mpenzi wa Frank ambaye naye alipigwa picha kama hizo) imepotea.

“Nilipombana kuhusu mazingira ya kupotea hakuwa na maelezo yanayoeleweka, sikutilia maanani, nilipopigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna picha zangu za utupu nilikumbuka maneno yake... mimi nahisi ni Frank atakuwa amecheza mchezo huu,” alisema Husna akiendelea kumwanga machozi.

"NILILAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MWALIMU WANGU.....ALIPONIPA MIMBA ALIAMUA KUJIUA".....DENTI

Mwalimu ni kiungo muhimu sana katika malezi ya wanafunzi hapa nchini.Wao hushinda na watoto  wetu kutwa nzima .......


Kwa mantiki hiyo, tabia ya  mtoto yeyote aliyewahi kalia madawati  ina asilimia zaidi ya 70 ya tabia  za walimu wake......

Siku hizi mambo yamebadilika sana.Mwalimu wa miaka ya 90 ni tofauti kabisa na mwalimu wa miaka y leo.

Walimu wa leo wengi wao ni vijana wadogo ambao wengi wamejawa na tamaa za mapenzi.Wao hawajui kutongoza bali wanajua kulazimisha....

Inashangaza na  kusikitisha kuona walimu  wetu wakishindana  KUTOA BIKRA ZA WATOTO WA KIKE......Mtoto akikataa basi cha motoatakiona ....

Mtandao huu umebahatika kuongea na  mwanafunzi mmojaambaye ni mhanga wa tukio hilo la kulazimishwa mapenzi na mwalimu wake..........

HILI NI  SIMULIZI LAKE:
 --------------------------------------------------------------------
"Mwalimu alianza kunitaka  tangu nikuwa  form one.Nilipomkataa alianza  kunichapa tena bila kosa maalumu na  kunipa adhabu kila  mara...

Baada ya kufanya hivyo kwa muda, aliamua kuniita ofisini na  kuniambia  kuwa  anatanisaidia  kimasomo endapo ntamkubalia.Niliamua  kumkubali kwa  kwa kuhofia  viboko na aliniambia  nisimwambie mtu.

Siku ya kwanza kufanya mapenzi alinipeleka gesti na aliniambia kuwa atatumia condom.Kwa kuwa  ilikuwa ni mara yangu  ya kwanza hatukuweza kutumia kinga na alifanya hivyohivyo.

Baada ya hapo tuliendelea  kufanya  hicho kitendo hata tukiwa shule.Wakati wa  kutawanyika, mwalimu alikuwa  akiniita  katika  ofisi yake  na  kunilazimisha tufanye.....

Miezi kadhaa baadaye, nilianza kujihisi tofauti na wazazi wangu waliyagundua mabadiliko hayo.Walinipeleka hospitali  na vipimo vilionesha kuwa  nna mimba.Waliponibana ilinibidi niwaeleze  ukweli.....

AFISA  ELIMU AINGILIA KATI:
Baada ya kubaini hali hiyo, baba  alinipeleka moja kwa moja mpaka kwa afisa elimu wa mkoa.Sikuwa na jinsi zaidi ya kueleza ukweli.Mwalimu aliitwa na kuhojiwa.Mwanzo alikataa kabisa lakini baada ya kubanwa ilibidi akubali.

Mwalimu alisimamishwa  kazi kwa muda  na  kufunguliwa mashitaka.Alikaa  polisi kwa  siku mbili, siku ya tatu alipata dhamana  akatoka.....

Alipotoka, mwalimu aliamua kujiua kwa sumu.Shule niliachishwa.nipo nyumbani na mtoto.
--------------------------------------------------------------------
MTAZAMO WETU:
Ni ukweli usiopingika kuwa walimu wa siku hizi wamekuwa ni kero kwa watoto wa kike.Walimu hao  hutumia  viboko  kama msingi wa kuwafanya  wakubaliwe maombi yao.Hii  ni changamoto  kubwa  sana inayotukabili sisi wazazi.

Nadhani huu  ni wakati mwafaka kwa  wanafuni kujitambua  na  kutokuwa wasiri kwa  kuhofia  kuchapwa viboko.Waeleze  wazazi  wako juu  ya  mkasa unaokukabili  maana hayo ndo maisha yako  ya baadaye

MATONYA AELEZA JINSI ANAVYOKABILIWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA KATIKA MAMBO YAKE

.
Kwa yeyote anaefatilia bongofleva toka kitambo kidogo najua jina la Matonya lazima litakua kwenye list ya familia ya wanabongofleva.

Ni jina ambalo limekua kwenye vichwa vya vizito vya habari mara kadhaa kutokana na stori kama ya kukamatwa na dawa za kulevya China pamoja na stori nyingine.


Stori ya mwisho mimi kuisikia na nikawa na hamu ya kuifahamu ni kuhusu taarifa kwamba msanii huyu mzaliwa wa Tanga 96.0 amekwama kwenye ishu zake za maendeleo kwa sababu kuna watu wanamloga asifanikiwe tena ikiwemo kukwamisha uzinduzi wa hoteli yake aliyoijenga Tanga ambayo ilitakiwa kufunguliwa toka miezi sita iliyopita.


Namkariri akisema “nilikua na harakati hizo za kufungua hoteli lakini majukumu yalinizidi nguvu kidogo lakini taratibu yangu iko palepale japo ile time niliyotarajia haikufanikiwa lakini bado nina mpango huo japo sitotaja siku, kuhusu ushirikina hiyo inasemekana lakini siwezi kusema ni kweli au sio kweli kwa sababu hayo ni mazingira ambayo yametuzunguka, mazingira yetu sisi waswahili”


“Siwezi kusemea swala hilo liko vipi lakini kikubwa tunapigana kila siku sichoki kumuomba Mungu kwa sababu siku zote penye mazuri hakukosi kuwa na mabaya kwa hiyo yanayosemwa labda ni ya kweli au sio kweli” – Matonya


Hoteli yake ni ya vyumba 10 ambapo ina pub ndani yake.

KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVES




Baadhi ya wananchi waliojitokeza kuuangalia mwili wa kichanga hicho
Hizi ni picha tulizozipata kwenye mtandao wa Jamii Forum zikiwa na maelezo: MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA LEO MAENEO YA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI. 

Hakuna maelezo kuwa kichanga hicho kinekutwa hai kwakuwa mtu aliyeweka picha ametumia maneno kama ‘mwili’ wa mtoto huyo kumaanisha kuwa hakuwa hai. .

Mtoto mwenye umri wa siku moja wa jinsia ya kike akiwa amewekwa kwenye ndoo na kutupwa


Afisa wa polisi akiuchukua mwili wa mtoto huyo uliofungwa na kanga na kutolewa na msamaria mwema muda mfupi baada ya kutaarifiwa kuhusu tukio hilo

MADEE AJITOA TIP TOP CONNECTION



MSANII mahiri wa muziki wa kizazi kipya anayewakilisha pande za Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, kutoka kundi la Tip Top Connection, inadaiwa kuwa amejitoa katika kundi hilo, na sasa anataka kufanya muziki kivyake na sababu za kujitoa kwake bado hazijulikana.

Chanzo chetu cha habari kilichozungumza nasi
, kwa sharti la kutotajwa kwa jina lake kilidai kuwa wiki iliyopita msanii huyo alikuwa kwenye mzozo na mmoja wa wasanii wa kundi hilo lakini waliweza kupatana ingawa jamaa bado anaonekana kutopenda kile kilichotokea lakini bado kuna vitu vingine vya ndani zaidi vilivyosabisha hadi jamaa kuamua kujiweka pembeni.

Chanzo hicho kilichopo karibu na wasanii hao hakikusita kueleza kuwa ndani ya kundi hilo kuna matatizo mengi, kwani hata kuondoka kwa baadhi ya wasanii waliokuwa hapo kulisababishwa na matatizo hayo ambayo yamemfanya Rais huyo manzese kujiengua, ingawa bado kuna mvutano mkubwa unaoendelea ili kumrudisha kundini jamaa huyo bila taarifa za mkwaruzano huo kutoka nje.

Thursday 25 October 2012

DIDDY APATA AJALI

 
 Mitandao kadhaa ukiwemo wa TMZ imeripoti kutokea kwa ajali ya gari ikimhusisha Bad Boy Diddy maeneo ya Bevery Hills
maaskari waliofika eneo la tukio walisema kuwa kila mmoja aliehusika katika ajali alionekana kulalamika kuumia akiwemo Diddy, dereva wake na dereva wa gari lingine, na kudai kuwa bado haijajulikana wameumia kiasi gani lakini hakuna hata mmoja aliepelekwa hospitali licha ya ambulance kufika eneo la tukio

RAY C ATAKA KUJIUA

BI. CHEKA KUTOKA MPIRA WA MIGUU, NGOMA HADI BONGO FLEVA

Na Erick Evarist
NANI kasema kipaji kinazeeka? Asikwambie mtu, Bi. Cheka anadhihirisha msemo usemao ng’ombe hazeeki maini kwani licha ya umri wake mkubwa, bado anapanda jukwaani kutoa burudani kupitia muziki wa Bongo Fleva.

Bi. Cheka akiwa kijijini kwao.
HISTORIA KWA UFUPI
Jina kamili ni Cheka Hija. Amezaliwa mwaka 1959, Ilala jijini Dar es Salaam. Kabila lake ni Msangu. Jina la Bi. Cheka alilipata baada…

Chinese teacher gets sack after sharing pic of herself lifting pupil into the air by ears

Teacher Yan Yanhong lift a pupil off the ground by his ears
Child cruelty ... teacher Yan Yanhong lifts a pupil off the ground by his ears

A CHINESE pre-school teacher has been sacked after sharing pictures online showing her lifting up a young student by their ears.

Parents in China's Zhejiang province complained to the local education department after the cruel image was posted on social networking site Weibo.
The picture shows 20-year-old Yan Yanhong smiling as she hauls the screaming youngster several inches off the ground at the school in the city of Wenling.
Small boy with his mouth taped shut and his hands taped to desk
Cruel ... small boy with his mouth taped shut and his hands taped to desk
REX
And the sickening shot was just one of more than 700 images Yanhong posted online, apparently taken by another teacher.
Other horrifying pictures showed young children with their mouths taped shut and their hands stuck to the desk to make them sit still.
Young boy with his mouth taped shut
Silenced ... young boy with his mouth taped shut
REX
Another shows a child forced into a bin, with their back awkwardly arched over the side. A final picture shows a youth with a rubbish bin on their head.
But when confronted by local media, Yanhong explained that she and the students "were just having fun".
Youngster thrown into a bin
Shocking pictures ... youngster thrown into a bin
REX
A local paper reported: "The kindergarten has been instructed to dismiss the teacher, Yan, and report the matter to local public security.”
Officials investigating the case found that Yanhong was not qualified for her job - but had been hired anyway due to a teaching shortage.
Snap of pre-schooler with bin on head
Child abuse ... snap of pre-schooler with bin on head
REX
Earlier this week a different Chinese teacher sparked outrage when footage emerged of her repeatedly slapping a 5-year-old girl.
Yan Yanhong
Sacked ... Yan Yanhong

HAPPY BIRTHDAY CIARA....

Napenda kusema kwamba kama wewe unasherekea siku yako ya kuzaliwa leo basi utakuwa una share happy birthday yako na mwana dada Ciara kwani msanii huyu siku kama hii ya leo ndiyo  alizaliwa na anatimiza miaka 27 toka azaliwe mwaka 1985 nchini marekani.Tunamtakia All the best katika game.

DIAMOND ADAI KUOA NI BAADAYE SANA

Msanii wa Bongo fleva, Naseeb Abdul,  a.k.a Diamond wa wasafi  siku za hivi karibuni alifunguka na kusema kwamba hana mpango wa kuoa siku za karibuni kwa kuwa bado anahitaji sana mapenzi ya karibu na mama yake.
Akihojiwa na vyombo vya habari hapa Tzee, Diamond alisema kumekuwa na maneno mengi sana yanayozagaa kuwa hivi karibuni atamuanika mchumba wake anayetaka kufunga naye ndoa, jambo ambalo si la kweli.
Diamond, ambaye unaweza kusema ndiye mwanamuziki anayefunika kwa sasa katika miondoko ya Bongo fleva, kutokana na ngoma zake kupendwa na mashabiki wengi hapa Tzee hata nje ya Tzee, alisema kwamba mbali na kuhitaji mapenzi kwa mama yake, pia ushauri wake ni jambo la muhimu katika kila jambo analotaka kulifanya.
“Unajua mimi ninampenda sana mama yangu na ndiye kila kitu kwangu, hivyo najikuta hakuna kitu ninachoweza kufanya bila kumjulisha, hivyo kuwa naye mbali kwa sasa itakuwa ngumu,” alisema.
Akizungumzia kuhusu uhusiano wake na aliyewahi kuwa na mahusiano na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, alisema kwa sasa ni rafiki yake wa kawaida tu, si mpenzi na wamekuwa wakishirikiana katika masuala mbalimbali.
Kwa mujibu wa Diamond, matatizo yote yaliyotokea huko nyuma, wameshasameheana na sasa hivi wanaiva vilivyo.
Diamond na Wema walishawahi kuwa wapenzi na kujikuta wakimwagana mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo habari zao ziliteka vyombo mbalimbali vya habari, hasa pale mwanamuziki huyo alipofanya onesho lake Mlimani City na kuzikataa fedha alizokuwa akipewa  na mwanadada huyo.Lakini kwasasa Diamond anatuhumiwa kwamba anamahusiano na mtu mwingine anayefahamika kwa jina la Najma sema msanii aliendelea tu kusema kwamba Najma si mpenzi wake ila ni rafiki tu Duuuuhh!!!!! baada ya hayo ndipo akaamua kusma kwamba suala la kuoa sio wakati huu ni baadaye sanaa .

Hebu Chungulia Hii Vedio Makamua ft Dr.Eddo Bado kujuana [Official Video]

RECHO ATOA UFAFANUZI JUU YA PICHA HII

Jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hii kila kona ya mitandao hiyo, huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho kulia na Diamond.
kupitia simu tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na haya ndio aliyoyasema.

"hiyo picha ni hali tu ya kawaida, na wala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafika huko.
tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua na kuanza kusambaza sio vizuri"
msikilize hapa chini

SHILOLE, BARNABA TENA?


Stori:Erick Evarist

KUNA tetesi kuwa, penzi lililokuwa limekufa kati ya mwigizaji wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Mbongo Fleva, Elias Barnaba limerejea kwa ari, nguvu na kasi mpya.

“Hivi karibuni wawili hao walionekana chobingo, Mbeya kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta na hata Dar pale Leaders Club, walikuwa ‘veri klozi’ nyuma ya jukwaa katika gari la Shilole,” alisema mpashaji wetu.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’
Mwanahabari wetu aliwatafuta hewani wote, lakini…

DALLAS WA WOLPER AMNYANG’ANYA GARI BOB JUNIOR

Stori: Shakoor Jongo

STAA wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ amenyang’anywa gari aina ya Toyota Mark II na zilipendwa wa mwigizaji Jacqueline Wolper, Abdallah Mtoro ‘Dallas’.

Sosi wetu alisema: “Unajua Bob Junior ndiye aliyefanikisha Dallas kumpata Wolper, sasa baada ya wawili hao kumwagana ndipo jamaa akaamua kulichukua gari lake kwa Bob Junior.”
Raheem Nanji ‘Bob Junior’
Dallas alipopatikana na kuulizwa alikiri: “Lile gari ni mali yangu, nilimpa

Wednesday 24 October 2012

MWANA FA SOON KUFANYA COLLABO NA WASANII KUTOKA KENYA........

Mwaka huu umekuwa ni mwaka wenye mafanikio mbalimbali kwa wasanii wetu wa hapo Tzee kama kwa mfano tumesikia Dogo janja ana mchakato wa kufanya collabo na mtu mzima prezzo mara baadaye tukasikia kwamba Baby madaha naye afanya collabo na Nameless kweli mafanikio ya wasanii wa hapa bongo land yanakuwa mazuri.Sasa habari nyingine niliyoipata kwa mtu mzima Mwana FA ni kwamba ana mipango ya kufanya collabo na Wyre pamoja na Prezzo katika ngoma yake mpya. tunamtakia All the best katika collabo hiyo.

LIL WAYNE ASHEREKEA KUZALIWA KWA MTOTO WAKE KAFIKISHA MIAKA 4

HAYA NDIYO MALIPO YANGU KWA SHOO..........


Kama utakuwa msikilizaji mzuri wa xxl basi haina shaka kuwa utakuwa unakumbuka kwamba siku chache zilizopita Diamond Platinumz alitangaza kuwa analipwa kiasi cha shilingi milioni 8 kwa shoo moja ndani ya Tanzania.

sasa taarifa iliyopo ni kuwa ALLY KIBA ametangaza kuwa kwa sasa atakuwa akipiga dili ya shoo kwa kwa kiwango cha kimataifa cha malipo
Akizungumza na teentz.com mapema leo nyota wa dushelele ali kiba amefunguka kuwa kwa sasa anapiga shoo shilingi za kibongo zaidi Milioni 12 ambazo ni sawa na dola 8000 za kimarekani kwa shoo zote za nje ya nchi na pia shilingi milioni 8 kwa shoo za ndani ya bongo.
"mara nyingi huwa sipendi kusema lakini ni kuwa kwa sasa nina ratiba kibao za shoo nje ya bongo na ambazo tayari malipo yake ni dola 8000 za kimarekani na hapa bongo nitakuwa napiga…

HAWA NDIO WANAONGOZA KWA KULIPWA MKWANJA MREFU KWENYE BONGO MOVIES


Industry ya entertainment Tanzania is still a boy’s town ambapo wanaume bado wanapata mapato makubwa kuliko wanawake especially katika filamu. Lakini usijari, still bado mademu wana uwakilishi mzuri kwa upande wa Top female stars.
Katika kiwanda ambacho kwa sasa kinaongoza kimapato katika upande wa burudani – men are still leading for earning more money lakini girls are not too far behind.
Your leading entertainment magazine has done its research kwa kuongea na na producers mbalimbali wa movies na waigizaji wenyewe kuhusu malipo wanayo-demand na kulipwa per movie.
Here are the 5 girls who run the film industry kwa sasa kwa kufanya vizuri kwenye movie industry kwa kuongoza kwa mauzo ya filamu na kulipwa mkwanja mrefu zaidi – talking about their earnings na mambo yote yanayoizunguka tasnia ya filamu Tanzania.
Ukitaka kujua nani analipwa mkwanja zaidi jipatie copy yako mpya ya BaabKubwa Magazine mtaani kwa

OBAMA AMBWAGA ROMNEY KATIKA MDAHALO WA TELEVISHENI

Rais Barack Obama akiwa na Mitt Romney (kushoto).
KWA mara nyengine tena Rais Barack Obama ametajwa kumbwaga Mitt Romney katika mdahalo wa televisheni, ambao licha ya mada yake kuu kuwa siasa, masuala muhimu kwa wapiga kura, yaani uchumi na ajira, yalitawala mjadala.
Safari hii, wachambuzi wanasema kwamba mpira ulikuwa unachezwa uwanjani kwa Rais Obama - siasa za kimataifa - na hivyo alitumia vizuri ujuzi wake kwenye eneo hilo kuponda kile kinachoonekana kama uelewa mdogo wa Romney linapohusika suala la siasa za nje.
"Gavana Romney, nimefurahi kwamba unatambua kwamba al-Qaida ni tishio kwa sababu miezi michache iliyopita ulipoulizwa ni kipi kitisho kikubwa duniani kwa Marekani, ulisema Urusi, ilhali Vita Baridi vilimalizika tangu miaka 20 iliyopita.
Linapokuja suala la sera za nje, unaonekana kurudisha siasa za miaka ya 1980, kama vile ambavyo una sera za kijamii za mwaka 1950 na za kiuchumi za mwaka 1920. Unasema hupendelei kuigiza kilichotokea Iraq, lakini wiki chache zilizopita ulisema unafikiria tuongeze wanajeshi zaidi nchini Iraq." Obama alimdhihaki Romney.
Pakiwa pamebakia wiki mbili tu kabla ya Siku ya Uchaguzi, Romney aliutumia mdahalo wa jana kushadidia hoja yake kwamba Obama ameufuja uchumi wa Marekani
"Ili tuweze kuendeleza misingi hiyo ya amani, tunahitajika kuwa na nguvu, na hilo linaanza na uchumi imara hapa kwetu, na bahati mbaya uchumi si imara kiasi hicho.
Pale rais wa Iraq- samahani- rais wa Iran, Ahmedinejad, anaposema kwamba deni letu linatufanya tusiwe tena taifa kubwa, hilo ni jambo la kutisha. Mkuu wa zamani wa jeshi, Admirali Mullen, alisema kwamba deni letu ndicho kitisho kikubwa cha usalama wa taifa. Tumeudhoofisha uchumi wetu." Alisema Romney.
Mchuano mkali
Wakiwa wanachuana vikali, hakuna hata mmoja kati yao aliyeweza kumtoa mwenzake nje ya ulingo haraka, wakati wakilumbana kuhusiana na masuala ya Israel, Iran, Urusi, na ukubwa wa jeshi la Marekani, katika mdahalo huo uliofanyika kwenye Chuo Kikuu cha Lynn, Boca Raton.
Matokeo ya uchunguzi wa maoni yaliyotangazwa baada ya mdahalo huo, yamemuonesha Obama akiongoza, ingawa asilimia 60 ya waliotuma maoni yao kwenye kituo cha CNN, walisema Gavana Romney ana uwezo wa kuwa amiri jeshi mkuu wa majeshi, akitimiza jukumu lililowekwa na wasaidizi wake. CNN imempa Obama asilimia 8 mbele ya Romney.
Kura ya maoni ya kituo cha CBS inaonesha kuwa asilimia 53 ya watu wanaamini kuwa Obama alishinda mdahalo wa jana, ikilinganishwa na asilimia 23 ya Romney, huku asilimia 24 wakisema wametoka suluhu.
Kwa kuwa siasa za nje ni kipaumbele cha chini katika kampeni iliyojikita kwenye uchumi, bado si wazi ikiwa mdahalo huu utakuwa na athari gani kwenye kinyang'anyiro hicho cha urais. Wachangiaji maoni kupitia kituo cha CNN, walionekana kugawika juu ya suala ikiwa mdahalo huo ungeliathiri kura zao hapo tarehe 6 Novemba.
Hata hivyo, picha hii ya Boca Raton ilikuwa ni moja ya nafasi za mwisho mwisho kabisa kwa wagombea wote wawili kuwanasihi mamilioni ya wapiga kura waliokuwa wakiifuatilia kupitia televisheni zao, na ambapo Obama ametajwa kujidhihirisha mtundu zaidi ya Romney.
Mwandishi: Mohammed Khelef/AFP/Reuters
Mhariri: Saumu Yussuf
CHANZO: swahilivilla.blogspot.com

‘MFU’ AREJEA SIKU YA MAZISHI YAKE WAKATI ‘PACHA’ WAKE AKIWA KWENYE JENEZA


Gilberto aliporejea siku ya ‘mazishi’ yake.
FAMILIA ya Gilberto Araujo, mkazi wa jiji la Sao Paulo, Brazil, ilikuwa haijamwona kwa muda wa miezi minne baada ya polisi kutangaza Jumapili iliyopita kwamba tayari alikuwa ameuawa.
Familia ilipokuwa imejitayarisha kwa 'mazishi' yake.
Hali hiyo ilimfanya kaka yake, Jose Marcos Araujo, siku ya Jumanne kwenda mochwari na kuchukua mwili wa Genivaldo Santos Gama, mtu…
Gilberto aliporejea siku ya ‘mazishi’ yake.
 Hata hivyo, ‘marehemu’ Gilberto Araujo  (41) alipata habari kutoka kwa rafiki yake wakiwa mitaani ambapo alimwambia kwamba familia yake ilikuwa inatambua kwamba alikuwa amekufa.
Kilichofuatia ni kwamba Gilberto alikwenda nyumbani kwao na kukuta watu wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya mazishi yake na kuna jeneza lenye mtu ndani ambaye waliamini alikuwa ni yeye.
Gilberto akiwa na mama yake, Marina Santana, baada ya kusemekana alikuwa amekufa.
Mkanganyiko huo ulitokana na kwamba Gilberto na Gama wote walikuwa ni waosha magari, hivyo polisi waliipotosha familia ya Gilberto kwa kuwaambia ndugu yao ameuawa, badala ya kuiambia familia ya Gama.
Hata hivyo, watu hao wawili pia wanasemekana wanafanana, na ndiyo maana kaka mtu akakosea na kuchukua maiti ya Gama.
Pia tatizo jingine ni lile la kutoonekana kwa Gilberto kwa muda wa miezi minne.


Familia ilipokuwa imejitayarisha kwa 'mazishi' yake.
Hali hiyo ilimfanya kaka yake, Jose Marcos Araujo, siku ya Jumanne kwenda mochwari na kuchukua mwili wa Genivaldo Santos Gama, mtu ambaye anafanana sana na ndugu yake mwosha magari aliyesemekana kuuawa.
Hata hivyo, ‘marehemu’ Gilberto Araujo  (41) alipata habari kutoka kwa rafiki yake wakiwa mitaani ambapo alimwambia kwamba familia yake ilikuwa inatambua kwamba alikuwa amekufa.
Kilichofuatia ni kwamba Gilberto alikwenda nyumbani kwao na kukuta watu wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya mazishi yake na kuna jeneza lenye mtu ndani ambaye waliamini alikuwa ni yeye.

Hebu Cheki Mabao Ya Man U Na Braga Yalivyopenya Kimyani......mnamo Jana Usiku Katika Michuano Ya Klabu Bingwa Barani Ulaya.


MSANII WA BONGO MOVIE 'MIRIAM' AKATAA KUOLEWA BAADA YA WAZAZI KULA MAALI




MSANII chipukizi kwenye tasnia ya filamu bongo, Miriam, ambaye ni mdogo wa msanii Jackine Wolper, amesema kuwa yupo kwenye wakati mgumu kwani wazazi wake wanamtaka aolewe kilazima na mtu ambaye hana mahusiano naye huku wakiwa tayari wameshachukua mahari.

Ishu hiyo awali kabisa ilidaiwa kuwa mwanaume ambaye amewekwa kwa ajili ya kumuoa ni mume wa mtu huku ndugu zake wakiwa wameshapokea nusu ya mahari tangu mwaka jana.

Mwandishi wa habari hizi, alimtafuta msanii huyo ili kuzungumza naye kwa kina juu ya hiyo, ndipo alipodai kuwa hawezi kusema lolote kwani haitaji kuolewa kwa sasa na kitu kikubwa kinachomtatiza ni kwamba mwanaume huyo tayari ni mume wa mtu.

Alidai baadhi ya ndugu zake wanadai kuwa nusu ya mahari imeshatolewa kwa ajili yake na endapo akikataa kufanya wanavyotaka hali itakuwa ngumu kwani hakuna kitu wanachoweza kurudisha kwa mwanaume huyo zaidi ya yeye kukubali kuolewa.

“Mimi siwezi kwa sababu sina mpango wa kuolewa kwa sasa lakini wazazi ndo kwanza wanataka mimi nifanye hivyo yani nashindwa kuelewa nifanye nini kwa hili, kila ndugu ninayemfuata kumbe anajua kila kitu juu ya hilo suala na walishindwa kunishirikisha mimi ili nitoe mawazo yangu,” alisema kwa unyonge.